Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
DaahCzech Republic 2-1 England
U
Unfer ya goals ngapi kaka mbona total under odds tu?!
Hajaniacha hivi hivi
Nilimpa ashindeUlimuua?
Ngoja niingie pmDaah
Pili nimekupm mwamba mbona kimya?
PouwNgoja niingie pm
Vimechi vile havisomeki mie natabili tuu kuwa vitafungana sana home team zitashinda 6, away 5 na sale zitakuwa 2,,, kazi kwako sasa kujua ni zipiWakuu naomba aliyecheza Jackport ya sportpesa atume tufuate upepo wake
Na mimi nitumie PMLabda nikutumie pm
I mean kila mechi uliyobetia under...je ilikua ni under ya goals ngapi mpaka kupata ile odds ya 13Angalia vzr mkeka ujaelewa wapi?
Kaka unatumia site ipi kufanya analysis...siko njema sana kujua team players!Vimechi vile havisomeki mie natabili tuu kuwa vitafungana sana home team zitashinda 6, away 5 na sale zitakuwa 2,,, kazi kwako sasa kujua ni zipi
pale 1xbet wana sehemu ya kuchat,Wakuu naombeni msaada kwa anayejua anieleweshe, nataka kujua kuhusu multi bet na system zina maana gani kule 1xbet ?
Natanguliza shukrani
Asante mkuuVimechi vile havisomeki mie natabili tuu kuwa vitafungana sana home team zitashinda 6, away 5 na sale zitakuwa 2,,, kazi kwako sasa kujua ni zipi
Kumbe.Wakuu naona 1xbet wamerudi tz kwa tgo na airtel,
Labda nikutumie pm
Naomba mtu anifundishe Haya mambo ya over 2 au under 2 kwa kifupi over na under ni nini !?
Over 2.5 magoli yaanzie matatu kwnd mbele, no matter nitumie draw au mtu kafungwa,mf 2-1, 3-0,2-2 etcNaomba mtu anifundishe Haya mambo ya over 2 au under 2 kwa kifupi over na under ni nini !?