MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,621
unafikiri huo ushoga ulio uandika mimi siujui jaribu kuwa unaenda chooni na maji hata siku moja mojaAje inbox ili umwambie alipie?
Kama unauhakika na iyo kitu yako kopa ata kwa rafiki ako au ndugu mwambie kuna pesa ya bure weka milioni utajirike , hakuna mwanadamu aliye na huruma akupe dili la pesa akaacha jitajirisha mwenyewe