Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwamba kampasua Kanji huko.. wenye bahati zao..! Timu 6, Million 12,900,000.
IMG_20191013_122953.jpeg
 
Haichaniki tu na kula tunakula sio ODD 2 hadi ODD 10 msikate tamaa
2019-10-13_12-33-58 (2).png
 
scamer mkeo sio mimi
nikwambie tu we ni mwiZi..lakini pia na nyie wapenda vya bure kwa excuse ya kujifanya hapa jukwaani huuziwi wala kununua odds baki ivoivo na kupenda kwako vya bure..that why your fucking betting account is free indeed...fixed zipo..ila sio kama za huyu batamzinga hapa anaejaribu kuibia watu...we jamaa ukome na ukirudia nakutongoza pm
 
Wengine wanatoa fresh shida iko kwangu tu kutoa wanataka niingize code iliyotumwq kwenye simu yangu ila hiyo code me siipati
mbona simple tu, nenda pale kwenye reguest call watakupigia utawaeleza shida yako, watakumba kitambulisho cha taifa au cha kupigia kura, watalekebisha ndani dk ziro. tatizo wale wanaolalamika ni wale wenye usajiri nusu.
 
Tunawekaje code sie wa 1XBET
Nimeweza kuweka code ya rafiki kwa kwenda pale kwenye PLACING A BET kisha utakuta sehemu tupu imeandikwa load bet weka CODE kisha download matches zitakuja.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],maskini, ukiona mtu anatukana sana ujue ana depression kubwa mno.

Sina kingine zaidi ya POLE SANA MKUU

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
uyo jamaa ni somalia sana(njaa kali)....hapo alipo ata ukimpa yeboyebo aweza kunywa na chai
 
mbona simple tu, nenda pale kwenye reguest call watakupigia utawaeleza shida yako, watakumba kitambulisho cha taifa au cha kupigia kura, watalekebisha ndani dk ziro. tatizo wale wanaolalamika ni wale wenye usajiri nusu.
Sina kitambulisho chochote. Halafu kingereza cha kuongea me siwaelewi. Ila ingekuwa kuchart pale sawa. Maana na wao wananiambia hivyo hivyo ni request wanipigie.
 
Sina kitambulisho chochote. Halafu kingereza cha kuongea me siwaelewi. Ila ingekuwa kuchart pale sawa. Maana na wao wananiambia hivyo hivyo ni request wanipigie.
basi mengine mnasababisha wenyewe wakiziban pesa zenu mnaeneza taarifa za kitaperi. ile ni kampuni lazima ufuate vigezo na masharti.
 
basi mengine mnasababisha wenyewe wakiziban pesa zenu mnaeneza taarifa za kitaperi. ile ni kampuni lazima ufuate vigezo na masharti.
Mwanzo nilikuwa natoa bila mizengwe.

Mbona wengine mpaka sasa wanatoa bila hayo madude.
 
nakumbuka mwezi uliopita parimatch niliwon 46k, pesa kutoka nilisumbuka sana waliomba niwatumie kitambulisho cha taifa au cha mpiga kura na majina niliyosajiria kwenye namba ya sim viendane kwenye kitamburisho. embu fikiria kama ningekuwa sina hivyo pesa yangu ningepata?
 
Mbona kwenye kudeposite huo ujinga hatuulizwi wala kusumbuliwa.
 
Back
Top Bottom