Ni kwa ajili ya usalama wako. Wanahisi labda anaweza akawa anawithdraw mtu mwingine. So wanahakikisha pesa imfikie mlengwa.
Wewe hapo inavyoonesha tatizo ni namba yako kutokupokea sms ya uthibitisho kutoka kwao, ila mfumo wa miamala unatuma kabisa hiyo msg yenye code.
Jaribu kutumia vivivinjari tofauti kama ulitumia app, au tumia app kama ulitumia kivinjari. Logout kisha login na urudie zoezi tena.
Mimi kuna kipindi nilipata shida kupitia MELBET hela ilikuwa haifiki bank zaidi ya siku 10, I requested call but kingereza chao ikawa shida tupu kwangu, nikawaambia lugha yao napata shida kuielewa, akanipigia operator na namba ya South Africa ndio tukaelewana. Ila akikupigia simu atataka umpe namba ya NATIONAL ID tu ili kuthibitisha kama ni wewe kweli.