koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Sasa mbona mwishoni umejidefendKuna mdau amezungumzia makampuni ya nje yasiyosajiliwa hapa Tz lakini watu wamemponda mno,tuwe makini wadau. Mimi ninaamini tulio wengi humu tunatafuta maisha kupitia kubet,na tunaumiza vichwa sana kuanzia kutafuta mtaji wa kubet mpaka kutengeneza mikeka yenyewe. Iko hivi,kuna siku mtu atawapiga hawa jamaa hela ya ukweli ila akashindwa kuipata na asiweze kufanya chochote akabaki anaugulia maumivu tu. Ushauri wangu ni bora kukomaa na makampuni yaliyosajiliwa nyumbani ambayo akina Tarimba watakusaidia yakileta longolongo kuliko haya yasiyosajiliwa. Ni kweli makampuni yetu yana option ngumu ila kamari ni kubahatisha iko siku unaweza tusua kupitia haya haya makampuni yetu. Msinichukulie vibaya washkaji na wala siipigii promo kampuni yeyote ya kibongo ila ni mtazamo wangu tu,ninaweza kuwa sahihi au nimekosea.
Jamani mtuache hela ni yetu hata tukipigwa fresh tu huku haturudi tena