Mkuu German alikua na odds 1.5 ya headed goal as well as Netherlands kwaio ukiona odds yake ni zaid ya 1.42 nilisema juu huko uangalie kwa umakini hiyo match na wachezaj wake na sifa za kufunga magoal gani sometimes odds zinaongozamliompa Germany mmekwishaaaa
Mkuu upo? Habar za masiku?
Umepotea..
Promo code ya 1XBet weka 1019Promo code 1xbet unaipata vipi mazeee
Hili lina ukweli??? Maana imenibidi niwaandikie kuhusu kutopokea sms, nimewa email nadhani watanijibuKwa ambao hawapokei sms kutoka 1xbet wekeni line zenu kwenye simu ya tochi utapata sms zote
Mkuu hiyo option unaipatia kwa wapi..!?Option km hizi ndio tunazifata huko cjawah kulost mkeka wowote wa odds 2 kwa option hiii this is my best option ever View attachment 1231970
Asante mkuu ngoja kesho nijaribu. Sasa bahati mbaya line nimeikata si unajua tena mambo ya hizi smart.[emoji1787]Kwa ambao hawapokei sms kutoka 1xbet wekeni line zenu kwenye simu ya tochi utapata sms zote
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asante mkuu ngoja kesho nijaribu. Sasa bahati mbaya line nimeikata si unajua tena mambo ya hizi smart.[emoji1787]
Kwa nini1xbet raha sana!
Kila picha unakuwa unai click hapo hadi uone imekaa sawa, mfano hapo huyo mtu asimame wima.Msaada wana kilinge...View attachment 1232457
Msaada naomba anayefahamu jinsi ya kujiunga na 1xbet pamoja na jinsi ya kufungua skrill account anielekeze pm