1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
WhatsApp 0719957092. Ili tuanze kukesha. Hakuna kulala.mkuu ii nba ntaomba unielekez
WhatsApp 0719957092. Ili tuanze kukesha. Hakuna kulala.mkuu ii nba ntaomba unielekez
Ipo kwenye match kubwa kubwa tu chini chini ukishapita sabtitute player to score brace na hatrick unashuka chini kdg unaikutaMkuu hiyo option unaipatia kwa wapi..!?
Kikubwa Uzima, mengine tunapambana nayo tu!Nipo mkuu, sema mambo mengi mno.
Thanks huwo mmoja wa volleyballMpitie na huku kwenye volleyball nilifnya majarbio ya match 10 match 9 zikatoa moja ndio imechana odds 300+ hizo nimegundua kwenye under km mmoja ni dhaifu bac wanaishia period 3 au nne Yani 3-0, 1-3 or 3-1 wakidraw kwa 2-2 bac hapo ndio wanaenda period ya 5 na under ndio inapochana ila ninazocheza zote wakiishia period 4 bac zinawin huo mkeka ningecheza team 5 bac ningepata odds nzur Mana ya 6 ndio imechana ila anyway lolote linawezq kutokea ni mawazo tu kwa nilichokiona
Na handball pia under zinajitahidi ukiweka team mbili mpk nne bac odds nzur huo mmoja team nne odds 12Thanks huwo mmoja wa volleyballView attachment 1232615
1xbet kuna kiswahili, kwa hiyo ushindwe wewe tu.Unakuta option imeandikwa First Goal scored by Kicking.
Handball wanacheza dakika 60 period ya kwnza 30 wanaenda break wanamlzia 30 na hapo match inakua imeishaNa handball pia under zinajitahidi ukiweka team mbili mpk nne bac odds nzur huo mmoja team nne odds 12 View attachment 1232619View attachment 1232620
Shukran mkuuIpo kwenye match kubwa kubwa tu chini chini ukishapita sabtitute player to score brace na hatrick unashuka chini kdg unaikuta
hili neno..weka ya zamani kama unayoKuliko kufuata hyo option ya headed goli japo kuwa ni nzuri kwa nini msifuate vitu kama offside tackling, fouls throw ins, dribbling saves na vinatokea sana
mfano unaweza ukadili na saves na offside yan hata kama ujui kubet unapiga mpunga kuna option wameweka ni kama za kujifunzia kubet
alaf kitu kingne ambao wanatumia version mpya ya 1xbet ndo wanakosa mambo kuna baadhi ya option znakuwa kama hazionekan ila old version naona imekaa poa
Kuliko kufuata hyo option ya headed goli japo kuwa ni nzuri kwa nini msifuate vitu kama offside tackling, fouls throw ins, dribbling saves na vinatokea sana
mfano unaweza ukadili na saves na offside yan hata kama ujui kubet unapiga mpunga kuna option wameweka ni kama za kujifunzia kubet
alaf kitu kingne ambao wanatumia version mpya ya 1xbet ndo wanakosa mambo kuna baadhi ya option znakuwa kama hazionekan ila old version naona imekaa poa
Hongera naona unaenda kuwa millionaire.
Weka 0920 kumbukumbu ( reference)Wadau naomba mnielekeza njinsi ya kuweka pesa kwenye account ya 1xbet kwa njia ya tigo pesa... kwenye kumbukumbu namba unajaza zip? Msaada please
Usishangae haitoipia.1xbet kumenoga kuna option mpya FULL TIME PLAYER DEAD - YES/NO
Tunaomba mtuwekee na mifano ya mikeka hata kama haijalipiwa ili tusioziona hizo options tuweze kujifunzaKuliko kufuata hyo option ya headed goli japo kuwa ni nzuri kwa nini msifuate vitu kama offside tackling, fouls throw ins, dribbling saves na vinatokea sana