koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Yaani hawa wajinga wana option mpaka nyingine zinachekesha na kushangazaKwenye match mchezaji yeyote afe yes/no
Yaani hawa wajinga wana option mpaka nyingine zinachekesha na kushangazaKwenye match mchezaji yeyote afe yes/no
Ondoa wasiwasi..deposit sema tu kuna ukakasi wakat mwingine unatokea hasa kwenye kutoa hela. Ila si mara zote hvy inatumika tu kwa kias chake.Yani hapa ndio nilikuwa najaribu nashangaa zimekuja, wasi wasi wangu naogopa kudeposit kwa mobile money halafu hizo option zikapotea tena. Hapa dawa ni kurenew Visa Card yangu ya Online Purchase.
Wewe ulikuwa unatumia fresh mkuu??
Kwenye match mchezaji yeyote afe yes/no
Mpesa cjui ngap natumia tgo0920 kwa mpesa
Kwenye match mchezaji yeyote afe yes/no
Mpesa cjui ngap natumia tgo
Tumia mobile payments Vodacom M-pesa, Tigopesa au Airtel money inategemea ulijisajili na line ipi.Jinsi ya kuweka hela tafadhari nipe update
kawaida tu, maana sasahivi sioni hata tips humu naona matusi tu.Kwahiyo watu mnapiga pesa tu
Mzee Basketball vipi1xbet bhaani yaani full opinionsView attachment 1233112
Skrill wanacharge % ngapi mkuu!!Ondoa wasiwasi..deposit sema tu kuna ukakasi wakat mwingine unatokea hasa kwenye kutoa hela. Ila si mara zote hvy inatumika tu kwa kias chake.
Natumia card kuweka na kutoa..ila njia nzur zaidi nazungukia skrill!
waulize wao wahudumu wa 1xbet mbona maswala mengine mpaka kuumiza kichwa wakati ni jambo jepesi tuOya wadau naomba kuuliza, naona kila nikijaribu kuwithdrawal pesa 1xbet kwa TIGO PESA mbona inakuwa shida KUTUMIWA WITHDRAWAL CODE hadi niwapigie simu then wanitajie wao.
Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu hili anisaidie
NATANGULIZA SHUKRAN
asee akizingua mpoteze mbuz uyo mpaka macho yake yakae sawa..anajikutaga kim kardashian sanaHuyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
laini yoyote unadeposit ata kama hukusajilia iyo kampuniTumia mobile payments Vodacom M-pesa, Tigopesa au Airtel money inategemea ulijisajili na line ipi.
Mkuu kuna uezekano wa kutoa pesa bila kutumia lain/namba uliosajilia account..?l
laini yoyote unadeposit ata kama hukusajilia iyo kampuni
Tanzania anacheza na nani kwani?Tanzania leo tunamuuwa au maana kuna 4' akishinda