Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
yeah man...tena bila wasiwasi...laini nliosajilia haiko hewani muda tu..na natamba kama kawaMkuu kuna uezekano wa kutoa pesa bila kutumia lain/namba uliosajilia account..?
yeah man...tena bila wasiwasi...laini nliosajilia haiko hewani muda tu..na natamba kama kawaMkuu kuna uezekano wa kutoa pesa bila kutumia lain/namba uliosajilia account..?
Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
Mkuu umenchekesha japo nawe umentoa kwa kundi..ila furesh kipigo kiko pale pale
Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
Lini anacheza na saa ngapi Braza
Goalkeeper optionGoalkeeper optionView attachment 1233422
Mkuu watakaribia choma nini wakati muda wenyewe bado game ni dk 90 so tulia acha preshaMechi ya Ufaransa watakaribia choma
Jamani nani ameshafanikiwa kutusua angalau kuanzia M5 tangu 1xbet mobile imerudishwa ili tuone kama ku withdraw haina changamoto ili sisi washindi watarajiwa siku tukibahatika tusihangaike