koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Aiseeee huku unafanya niniJamani mm sijui kabisa habari za mpira..sijui kiungo wala winga hata siwajui. Nataka nami mnifunze kubeti..
Maelekezo yenu nianze vipi?
Acha kabisa kimbiaaaaa
Aiseeee huku unafanya niniJamani mm sijui kabisa habari za mpira..sijui kiungo wala winga hata siwajui. Nataka nami mnifunze kubeti..
Maelekezo yenu nianze vipi?
Kwanini mkuu? Naona vijana wenzangu wanapiga hela tu...Aiseeee huku unafanya nini
Acha kabisa kimbiaaaaa
Sema Wanapigwa hela sana..Kwanini mkuu? Naona vijana wenzangu wanapiga hela tu...
Kama hujui kabisa mpira sasa hii business utaiweza kweli?Jamani mm sijui kabisa habari za mpira..sijui kiungo wala winga hata siwajui. Nataka nami mnifunze kubeti..
Maelekezo yenu nianze vipi?
Na kupigwa sana pia.Kwanini mkuu? Naona vijana wenzangu wanapiga hela tu...
Si nabahatisha tu kwenye kuchagua timu au kuna formula? Mm siwez kaa dk 90 kuangalia watu 22 wanakimbiza mpiraKama hujui kabisa mpira sasa hii business utaiweza kweli?
Mimi ni jeshi la mtu m1. Kwa % kubwa kile nachofikiria kwenye game ndio wengi pia wanafikia hivyohivyo.
Kwa mfano game ya leo ya france na turkey, ina option kama 4 ambazo lazima zitoe. Hapo unatakiwa kuangalia ipi ina points nyingi.
France hii game anashinda. Points ni 1.42.
France anashinda n U 4.5. Points hapa ni 1.51.
Turkey goals ni U 1.5. Points hapa ni 1.17
Na mwisho france anavua mtu cap. Cap 1.86.
Kwenye hii game zote zinatoa hizo. Kwa hiyo mara nyingi tunaobet tunabet kwa kufanana sana.
Weee utapigwa uchakae. Yaani ujibetie tu[emoji15][emoji15][emoji15] hapa ni kutabiri si kubahatisha.Si nabahatisha tu kwenye kuchagua timu au kuna formula? Mm siwez kaa dk 90 kuangalia watu 22 wanakimbiza mpira
Atakua haja activate account mm cjawah kudaiwa hiyo code then mm csubir Hadi pesa zngu ziwe nyingi strategy yngu nikiweka elf5 ikifka elf10 natoa elf5 kwenye account yngu lzma kwa cku nitoe elf 5 na ibaki elf5 then ndo naangalia mahesabu mengneHiii ni option nzuri je nyie watumiaji wa hii kitu haiwasumbui kuwithdraw draw kweli maana niliwai ona mtu akilalamuka sijui mpaka ueke code
Kama hukusoma topic ya LOGIC(Advanced Mathematics) na pia Rate & Variation olevel basi usithubutu kubet utapigwa mpaka uchakae[emoji3][emoji3]Jamani mm sijui kabisa habari za mpira..sijui kiungo wala winga hata siwajui. Nataka nami mnifunze kubeti..
Maelekezo yenu nianze vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabdi nikazisome upyaa mkuu maana bado nachakaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kama hukusoma topic ya LOGIC(Advanced Mathematics) na pia Rate & Variation olevel basi usithubutu kubet utapigwa mpaka uchakae[emoji3][emoji3]
Mimi ni jeshi la mtu m1. Kwa % kubwa kile nachofikiria kwenye game ndio wengi pia wanafikia hivyohivyo.
Kwa mfano game ya leo ya france na turkey, ina option kama 4 ambazo lazima zitoe. Hapo unatakiwa kuangalia ipi ina points nyingi.
France hii game anashinda. Points ni 1.42.
France anashinda n U 4.5. Points hapa ni 1.51.
Turkey goals ni U 1.5. Points hapa ni 1.17
Na mwisho france anavua mtu cap. Cap 1.86.
Kwenye hii game zote zinatoa hizo. Kwa hiyo mara nyingi tunaobet tunabet kwa kufanana sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa kaingia chaka karbia mkeka mzima afu anakwambia yy ni jeshi la mtu mmojaHahahaha ingekua rahisi hvyo ungekuta namalizia mjengo masaki kulee kwa pesa ya kanji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ingekua rahisi hvyo ungekuta namalizia mjengo masaki kulee kwa pesa ya kanji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mim mwenyewe niliuliza sikupata majibu wacha tusubiri wajuzimsaada 1xbet" you have already placed bet kweye match flani" nikitaka kuweka mkeka mwingine huo ujumbe unakuja..naondoa vipi hili tatizo
Kapigwa balaa
Mim mwenyewe niliuliza sikupata majibu wacha tusubiri wajuzi
kama uliweka mkeka Wa kwanza mfano kati yaizo timu ulimpa England ALAFU ukaja weka mkeka wapili pia ukamuweka England inagomaaamsaada 1xbet" you have already placed bet kweye match flani" nikitaka kuweka mkeka mwingine huo ujumbe unakuja..naondoa vipi hili tatizo