Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera kwa kaz nzuri ila fanya kutupia mapema hiyo mikeka kabla ujatiki maana inaonekana kwenye volleyball na handball chief uko vizuri mno, share na wenzio. Cyo lazima ila itapendeza zaid ukifanya hivyo.
Shida ya betting ni kumuona mwenzako hahapatachochote kupata elf tatu kwa cku na kuonekana shujaa anaepotezq elf10 kwa cku na kujipa tamaa nitashindq kesho itarud na kesho inapita ni hivo mpk mtaji unataka mm naweza kupoteza ila cjawah kukosa mtaji wa kuanzia
 
Screenshot_20191015-132359.png
 
Tupe strategy ya Handball mkuu
Mm handball sina ujuzi nayo natumia uzoefu tu ila ninachofnya nacheza under tu wanakuwa wanapewa under 48.5 49.5 50.5 53 53.5 58.5 60 kwaio dakika 30 wanacheza break wanarud dakika 30 ila unakuta mpk 30 minutes Kuna points 18 mara nyingi kwneye dakika 60 kuna points 48 45 50 51 mm strategy yngu ni kuwa sichezi match yyte yenyew under 49.5 Mana sometimes wanafka 50 nacheza kuanzia 50.5 labda kwa league ya Kenya ndio nacheza hiyo under 49.5 na chini yake Mana unakuta kila dakika 15 Kuna points 7 ,8 dakika 30 unakuta Kuna points 20 tu ndio najiripua na under 49.5 ( match zote nilzocheza under 51.5 zimewon labda moja ambayo ilizid kwa points 2 Mana walipga penalty sana kwenye dakika 55 ndio vikazidi ila wacpopiga penalty bac kwenye dakika 10 hawapat points hata 14 kwa match zote
 
MSAADA: hizi bonus za 1x bet nazitumia vipi maana naona zimegawanywa mara mbili lakini kila nikitaka kuzibetia naambiwa opyions zangu haziendani na masharti ya bonus?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabdi nikazisome upyaa mkuu maana bado nachakaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Karudie aisee maana betting inahusisha vitu hivyo.
 
Hii ni handball haina set wanacheza dakika 60 anaeongoza ndo mshindi ( handball na volleyball nacheza under tu coz wengi wao hawafkii points) hizo ni match 4 cjui hivi odds 12 won elf10800 hapo ninachofnya nawithdraw naeka pemben elf10 kwnza naituma tigo pesa then NMB account nissione kabsa ili kilchokwenye account yngu nikitumie vzur sifkirii kua elf10 kwa mkeka mmoja ni kidg kwa mm View attachment 1233904
Mkuu we shida yako muoga..si uweke hata 3000 hapo!
900 ni nin hicho?
 
Ngoja nije huko nitest mkuu,naona mambo si mabaya.asante kwa kushea maujanja.

Back
Top Bottom