Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

DRW IF THE DAY
KAZIKWAKOOOO

EUROPE: Euro - Qualification
20:45Romania - Norway
Tip: Full time draw
Odd: 3,22

WORLD: Friendly International
21:00Algeria - Colombia
Tip: Full time draw
Odd: 3,18

ENGLAND: National League
20:45Wrexham - Chesterfield
Tip: Full time draw
Odd: 3,44

PLAY SINGLE
 
wakuu nimeona ujio wa 1xbet ila cjaona option km shoots on target,fouls,corners au mimi tu ndo sijaona ivyo vyote lkn vpo?
 
IMG_20191015_184559_141.jpg
IMG_20191015_184605_360.jpg
 
MSAADA: hizi bonus za 1x bet nazitumia vipi maana naona zimegawanywa mara mbili lakini kila nikitaka kuzibetia naambiwa opyions zangu haziendani na masharti ya bonus?
Inatakiwa unapotumia bonus kubet Kila mkeka unaobet ni lazima uwe na timu tatu au na zaidi zenye odds za kuanzia 1.4 na hata ukishinda kabla ya kutoa pesa ipatikanayo kwa bonus ni lazima uwe umeshaichezea mara tano.
 
Wakuu msaada tafadhari
Nime register 1xbet lakn kwenye cm kulikuwa na line tofauti na ambayo nitakuwa niki deposit
Je haitazingua kuweka nakutoa???????
 
Back
Top Bottom