Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
lakini pigabet hawana kubeti weatherHata pigabet wanayo hadi politics
lakini pigabet hawana kubeti weatherHata pigabet wanayo hadi politics
Mkubwa wao yuleee tangu nimejiunga 1xbet juzi juzi nimeisahau adi kampuni yangu pendwa parimatch[emoji28][emoji28]nilianza kutumia hii 1xbet kitambo sana zamani walikuwa na option ya kudeposit kwa mpesa kwa Tanzania badae waliitoa kwa sababu zao binafsi wakaweka option nyingine kama tulivokuwa tunazion mm nikawa sibet kule juz kati baada ya kuona malalamiko nikalog in nikaona hakijabadilika kitu nikachat nao telegram nakuwaambia waweke deposit method za chap chap za hapa bongo na kweli Leo nimeona wameweka 1xbet ipo vizur hata kati ya matangazo wanatangaza 1xbet Tanzania no moja ya nchi zinazotangazwa endeleen kula pesa option kibao
Usenge umeanza nikitaka kutoa hela nadaiwa sms code kwamba imetumwa kwenye simu yangu. Ila hiyo code kwangu haijajanilianza kutumia hii 1xbet kitambo sana zamani walikuwa na option ya kudeposit kwa mpesa kwa Tanzania badae waliitoa kwa sababu zao binafsi wakaweka option nyingine kama tulivokuwa tunazion mm nikawa sibet kule juz kati baada ya kuona malalamiko nikalog in nikaona hakijabadilika kitu nikachat nao telegram nakuwaambia waweke deposit method za chap chap za hapa bongo na kweli Leo nimeona wameweka 1xbet ipo vizur hata kati ya matangazo wanatangaza 1xbet Tanzania no moja ya nchi zinazotangazwa endeleen kula pesa option kibao
kama umesajilia mamba no chap inakuja kama email uliweka jaribu kuangalia na kwenye email au telegramUsenge umeanza nikitaka kutoa hela nadaiwa sms code kwamba imetumwa kwenye simu yangu. Ila hiyo code kwangu haijaja
Kote hola hii no naitumia toka mwaka 2017 kwenye hii kampuni na nilikuwa natoa fresh tu.kama umesajilia mamba no chap inakuja kama email uliweka jaribu kuangalia na kwenye email au telegram
Amekaa (won)
FT 0-0FT X TRY
COLOMBIA
Sikuiz nimekuwa mpenzi mtazamaji.
Maana hata mtaji wamechukua.
me kwangu tigo majangaWadau kuna ambaye ameshawithdrawal ela kwenye 1xbet kwa njia ya mpesa