mo courtinho
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 198
- 145
M nmetoa sasa hv kwa tgome kwangu tigo majanga
M nmetoa sasa hv kwa tgome kwangu tigo majanga
Sasa Mkuu mbona na wewe umetuletea vijembe? Badala ya kuleta madini.Huu uzi ni wakufundisha beginners masoko ya kamari yakoje au ni uzi wa pro?Pia huu uzi ni wakueleza habari za 1xbet tu mara hivi mara vile au ni wakutupia mikeka wadau wafuate?undefinedJamani wale mnaobeti na 1xbet bet at you're own risk kwa sababu haiko registered na Gaming board ya Tz na ambawo hambeti na 1xbet mnakomaa na makampuni ya 20% kivyenu hata Mungu anataka 10% tuundefined.Huwezi kusoma comments tatu bila kukutana na mara 1xbet hela haiendi mara nimetoa hela haijaja mara wamekataa nisi place bet hivyo pambana navyo wewe kivyako!undefinedNa wewe wa 20% endelea kupigwa hadi ukome kwa kuwa uko limited, Kipchoge the first human to ran under 2HRS said no human is limitedundefinedKwa siku za hivi karibuni uzi umepoteza maana umekuwa ni wavijembe, kejeli na habari za 1xbet tu ndio maana wadau wengi wanapotea.
mkuu samahani naomba buku nijaribu kutengeneza mtaji maana nimepokea vichapo mpaka nahisi homa! 0686139143Ix imerud kw kishindoView attachment 1231234View attachment 1231235
hawakuletei sijui ujaze code kwanza?M nmetoa sasa hv kwa tgo
vipi mkuu naona mambo sio mabaya maana 1xbet imerudi bongo alafu ulikuwa unawadai millioni kwenye akaunti yako sasahivi wamerudisha payment method naona umeshatoa sahiv unatumia2 unakula bata!Sasa Mkuu mbona na wewe umetuletea vijembe? Badala ya kuleta madini.
mavb
-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB
KweliUzi umevamiwa Matusi yamekuwa mengi kuliko Mikeka
Km n 1xbet tigo no tatzo, kwan n kampun yako hii ya muda mrefu au mteja mpyahawakuletei sijui ujaze code kwanza?
HT 1-1✪ Date : 12/10/2019 ⌛
✪ League :Colombia
✪ Time :21:15
✪ Match 😛asto - Junior
✪ Tips:[X/X]FT
✪ Odd :5.00
Extra tips [ X ] FT
Odds:3.50
——————————
Ni muda tu natumia toka 2017 na nilikuwa natoa fresh. Walivyoondoa malipo ya mitandao yetu nikasepa hivi walivyorudisha ndio na mimi nimerudi. Cha ajabu ndio nakutana na hii shida.Km n 1xbet tigo no tatzo, kwan n kampun yako hii ya muda mrefu au mteja mpya
Big up !!
Mara chache ukapost mkeka ukaenda na maji !!! Big up bro endelea kutupia humu ma ghost followers tupo !!!!mavb
-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB
Betting Haina Pro Mjomba! Kuna Wakongwe Tu Nao Wanapokea Vichapo, Hao Beginners Unaowaona Wasumbufu Nawe Ulikuwa Kama Wao So Wavumilie Tu Na Fanya Mambo Yako
Kuhusu 1xbet Kusemwa Semwa Sana Pia Iache Tu, Maana Watu Wanaipenda Na Wanaweka Pesa Zao Ina Option Nzuri.
Ukiona Wanakuudhi Sana Beginners Na Wanaoongelea 1xbet Basi Usiingie Tena Huku Maana Wewe Ni Professional Kwenye Betting
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
BOOOOOOOOOOOOMmavb
-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB
Kampuni la kitapeli hilo mi nimesamehe laki 7 zangu paleKuna siku niliongea kuahusu 1xbet kushare exp nilionekana waajabu sana ila nili won two tyms na sikulipwa 1xbet kwa sasa yakishamba sana na wamekuja kutupiga hela zetu anaendelee kwa ajili ya options aendelee ila kwangu mimi naona inatosha narudi kwenye vimeo vyangu ambavyo vimesajili hapo bongo
3-0√√√ /// 2-2 XXXCORRECT SCORE
COLERAINE VS WARRENPOINT 3-0
ODDS: 6.0
NORWAY VS SPAIN 2-2
ODDS: 14.0