Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jungle fighter
Hyo promocode mkiweka hyo hyo inayofanana hata kama ni 100 anaefaidika ni yule wa kwanza aliyeitoa maana yeye ndo anaonekana kama analeta wateja kwa hyo kwa kila ambaye atajiunga kupitia promocode yake wanamlipa
kwa hyo kwa ambye anaingaika kuitafuta sio lazma labda wewe ukishafungua ac yako ndo uangaike kutafuta watu watumie code yako
Shukran ndugu kwa maelezo safi!
 
Tunavizia taratibu
Screenshot_2019-10-12-15-15-33.jpeg
 
Wazee anayejua namna ya kusend money from one account to another account in 1xbet msaada please.
 
Mzee mimi ni mmoja wa wakongwe wa huu uzi, hii hali ya 1xbet mara imefanya hivi mara vile ilikuwepo haijaanza leo ila sasa imezidi mpaka uzi umekuwa wa kishamba! No offens

Ukitazama wengi wanauliza maswali ni kama wanaanza kucheza kamari leo au hawana hata mwaka mmoja kwenye hii tasnia! Maneno meeeengi alafu yote hayana maana.
Hizo habari za 1xbet kufanya ushuzi wahusika wadil nazo wao kivyao ukipigwa tulia ugulia maumivu kivyako

BASIASI a.k.a Pdidy mnamuona kama mjinga ila anavyovifanya vina maana zaidi kuliko kueleza matatizo ya 1xbet ni TOO MUCH IFIKE MUDA MPUNGUZE rejea ata page mbili tu uone ni matatizo matatizo matatizo
Tatizo vitoto vimekuwa vingi sana na stake zao za 500 ila kipindi Cha nyuma watu walikuwa makini na hata mikeka yao na stake zao zilithibitisha umakini huo.
Fanya kuwazoea maana Kila mtu anahaki ya kujifunza na kupata uzoefu kupitia kwa waliomtangulia, japo hutengeneza karaha kwa wazoefu.
 
Mzee mimi ni mmoja wa wakongwe wa huu uzi, hii hali ya 1xbet mara imefanya hivi mara vile ilikuwepo haijaanza leo ila sasa imezidi mpaka uzi umekuwa wa kishamba! No offens

Ukitazama wengi wanauliza maswali ni kama wanaanza kucheza kamari leo au hawana hata mwaka mmoja kwenye hii tasnia! Maneno meeeengi alafu yote hayana maana.
Hizo habari za 1xbet kufanya ushuzi wahusika wadil nazo wao kivyao ukipigwa tulia ugulia maumivu kivyako

BASIASI a.k.a Pdidy mnamuona kama mjinga ila anavyovifanya vina maana zaidi kuliko kueleza matatizo ya 1xbet ni TOO MUCH IFIKE MUDA MPUNGUZE rejea ata page mbili tu uone ni matatizo matatizo matatizo
Good! Kila kitu kikizidi kinakera.
 
Back
Top Bottom