Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

na
Huu uzi ni wakufundisha beginners masoko ya kamari yakoje au ni uzi wa pro?
Pia huu uzi ni wakueleza habari za 1xbet tu mara hivi mara vile au ni wakutupia mikeka wadau wafuate?

Jamani wale mnaobeti na 1xbet bet at you're own risk kwa sababu haiko registered na Gaming board ya Tz na ambawo hambeti na 1xbet mnakomaa na makampuni ya 20% kivyenu hata Mungu anataka 10% tu😊.
Huwezi kusoma comments tatu bila kukutana na mara 1xbet hela haiendi mara nimetoa hela haijaja mara wamekataa nisi place bet hivyo pambana navyo wewe kivyako!

Na wewe wa 20% endelea kupigwa hadi ukome kwa kuwa uko limited, Kipchoge the first human to ran under 2HRS said no human is limited

Kwa siku za hivi karibuni uzi umepoteza maana umekuwa ni wavijembe, kejeli na habari za 1xbet tu ndio maana wadau wengi wanapotea.
nakuja kukutongoza pm..maana una akili za kike na wivu wa kike
 
Hao wanaoangaika na promo code sio lazma maana ile ni kama mtu anairefer kwako ili afaidike kwa hyo sio kitu cha lazma
Samahan ndugu naomba kuuliza

Kwamfano mkawa hata watu 100 mlioweka promo code inayo fanana hapo anae faidika ni nan?
 
IMG_20191012_134229_631.jpeg
 
Who cares
Betting Haina Pro Mjomba! Kuna Wakongwe Tu Nao Wanapokea Vichapo, Hao Beginners Unaowaona Wasumbufu Nawe Ulikuwa Kama Wao So Wavumilie Tu Na Fanya Mambo Yako

Kuhusu 1xbet Kusemwa Semwa Sana Pia Iache Tu, Maana Watu Wanaipenda Na Wanaweka Pesa Zao Ina Option Nzuri.

Ukiona Wanakuudhi Sana Beginners Na Wanaoongelea 1xbet Basi Usiingie Tena Huku Maana Wewe Ni Professional Kwenye Betting

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jungle fighter
Hyo promocode mkiweka hyo hyo inayofanana hata kama ni 100 anaefaidika ni yule wa kwanza aliyeitoa maana yeye ndo anaonekana kama analeta wateja kwa hyo kwa kila ambaye atajiunga kupitia promocode yake wanamlipa

kwa hyo kwa ambye anaingaika kuitafuta sio lazma labda wewe ukishafungua ac yako ndo uangaike kutafuta watu watumie code yako
 
Back
Top Bottom