Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani hapa ndio nilikuwa najaribu nashangaa zimekuja, wasi wasi wangu naogopa kudeposit kwa mobile money halafu hizo option zikapotea tena. Hapa dawa ni kurenew Visa Card yangu ya Online Purchase.

Wewe ulikuwa unatumia fresh mkuu??
Ondoa wasiwasi..deposit sema tu kuna ukakasi wakat mwingine unatokea hasa kwenye kutoa hela. Ila si mara zote hvy inatumika tu kwa kias chake.

Natumia card kuweka na kutoa..ila njia nzur zaidi nazungukia skrill!
 
Ondoa wasiwasi..deposit sema tu kuna ukakasi wakat mwingine unatokea hasa kwenye kutoa hela. Ila si mara zote hvy inatumika tu kwa kias chake.

Natumia card kuweka na kutoa..ila njia nzur zaidi nazungukia skrill!
Skrill wanacharge % ngapi mkuu!!
 
Oya wadau naomba kuuliza, naona kila nikijaribu kuwithdrawal pesa 1xbet kwa TIGO PESA mbona inakuwa shida KUTUMIWA WITHDRAWAL CODE hadi niwapigie simu then wanitajie wao.
Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu hili anisaidie
NATANGULIZA SHUKRAN
waulize wao wahudumu wa 1xbet mbona maswala mengine mpaka kuumiza kichwa wakati ni jambo jepesi tu
 
Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
asee akizingua mpoteze mbuz uyo mpaka macho yake yakae sawa..anajikutaga kim kardashian sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…