Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

habari wadau,ukibet option ya yelow card mfano under 4.5 halafu game ikaisha bila card je mkeka utakufa ama la?mana kwenye magoli ukiweka under na ikatoa draw bado unakua umewin je kwa upande card inakuaje wakuu
 
habari wadau,ukibet option ya yelow card mfano under 4.5 halafu game ikaisha bila card je mkeka utakufa ama la?mana kwenye magoli ukiweka under na ikatoa draw bado unakua umewin je kwa upande card inakuaje wakuu
ivo ivo inakua win
 
Kama hukusoma topic ya LOGIC(Advanced Mathematics) na pia Rate & Variation olevel basi usithubutu kubet utapigwa mpaka uchakae[emoji3][emoji3]
Mkuu, kama hizo kanuni za kwenye rate & variation na logic, ndo zingekuwa kigezo Cha kushinda betting basi kusingekuwa na betting at all, na hayo makampuni ya betting yangetangazwa kufilisika.
 
ndio unagoma hata kama mkeka wa kwanza ushachanika na kuna baazi ya timu unataka kuzirudia inagoma
kama uliweka mkeka Wa kwanza mfano kati yaizo timu ulimpa England ALAFU ukaja weka mkeka wapili pia ukamuweka England inagomaaa
 
Set 3 team inatakiwa iwin set 3 ndio match inaisha mfno wakifka set ya pili mmoja akashindwa 2-0 then set ya 3 ikawa 2-1 wanaenda tena set iwe 3-1 ikitokea ya tatu imekua 2-2 wanaenda nyengne mpk apatkane mshindi iwe 3-2 , 1-3, 3-1, 2-3 ama 3-0, 03
Kama hayo matokeo hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20191015-121027~2.jpeg
    28.5 KB · Views: 14
Upo vizuri mkuu!
Timu 2 tu hapo ni odd 3!
Unaweza kupata hela nyingi zaid kwa siku kuliko loss!
Shida yako unawekaga 350!
Cwez kurisk pesa kubwa kwa odds za 1.8 zinakua kubwa coz ni high risk matokeo hayatabiriki Nina option zngu maalum ambazo najiamin km headed goal goalkeeper touch the ball na under goals pia Nina strategy yngu mpk mwisho wa mwez ctak kuiharbu kwa tamaa
 
Upo vizuri mkuu!
Timu 2 tu hapo ni odd 3!
Unaweza kupata hela nyingi zaid kwa siku kuliko loss!
Shida yako unawekaga 350!
Hii ni handball haina set wanacheza dakika 60 anaeongoza ndo mshindi ( handball na volleyball nacheza under tu coz wengi wao hawafkii points) hizo ni match 4 cjui hivi odds 12 won elf10800 hapo ninachofnya nawithdraw naeka pemben elf10 kwnza naituma tigo pesa then NMB account nissione kabsa ili kilchokwenye account yngu nikitumie vzur sifkirii kua elf10 kwa mkeka mmoja ni kidg kwa mm
 
Shida ya betting ni kumuona mwenzako hahapatachochote kupata elf tatu kwa cku na kuonekana shujaa anaepotezq elf10 kwa cku na kujipa tamaa nitashindq kesho itarud na kesho inapita ni hivo mpk mtaji unataka mm naweza kupoteza ila cjawah kukosa mtaji wa kuanzia
 

Tupe strategy ya Handball mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…