Hioo n nchi mkuuTaja na league mkuu zinatupita unapost kifupi
Yaani ni intl friendly, World Cup 2022 au .....ndo nimemaanisha mkuu, tunakushukuru kwa madini yako huwa ukifuata kwa akili hulali mtupuHioo n nchi mkuu
utaliwa mpaka upate uja uzitoJamani mm sijui kabisa habari za mpira..sijui kiungo wala winga hata siwajui. Nataka nami mnifunze kubeti..
Maelekezo yenu nianze vipi?
Yap mkuu intern friendly anacheza na omanYaani ni intl friendly, World Cup 2022 au .....ndo nimemaanisha mkuu, tunakushukuru kwa madini yako huwa ukifuata kwa akili hulali mtupu
Mapaachaaaautaliwa mpaka upate uja uzito
Mapaachaaaa
OvWIN
FAROE ISLANDS over MALTA
SPAIN over NORWAY
ISRAEL over LATVIA
Zipo mkuu "tuliza mtori nyama zipo chini"wakuu nimeona ujio wa 1xbet ila cjaona option km shoots on target,fouls,corners au mimi tu ndo sijaona ivyo vyote lkn vpo?
Inatakiwa unapotumia bonus kubet Kila mkeka unaobet ni lazima uwe na timu tatu au na zaidi zenye odds za kuanzia 1.4 na hata ukishinda kabla ya kutoa pesa ipatikanayo kwa bonus ni lazima uwe umeshaichezea mara tano.MSAADA: hizi bonus za 1x bet nazitumia vipi maana naona zimegawanywa mara mbili lakini kila nikitaka kuzibetia naambiwa opyions zangu haziendani na masharti ya bonus?
Hapo kW Romania 2po pamojRomania GG
Sweden GG
Weka familia
Pamoja Mkuu Kwa Adui Yetu Mmoja[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu i don't bet every sport and i don't bet daily!
Na kuna leagues huwa sibeti kabisa eg, England south and North league, Turkey, KPL, France national league n.k