Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Hesabu za wap hizo mkuu..yani laki mbili na nusu mara 13 upate milion 32?? Sijawahi kuona
Ukizidisha hapo inakuja kama 32 000 000 sasa swali linakuja BETPAWA wamesha ongeza maximum payout? Zamanj ilikuwa haivuki milioni 24. Au ni mambo ya fotoshop?