Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzungu hajawahi kuwa mpuuzi kuliko nyani weusi.

Komaa na size yako kwa promo zako.
1XBET NI WAPUUZI KWELI YAANI UNATAKA KUWEKA STAKE YA 100K WANA KU_GUIDE UWEKE MWISHO 13K,NA PIA UNAKUTA GAME ZINGINE UWEKE KWENYE MFUMO WA ACCUMULATOR SASA NDO NINI HII.Ngoja niendelee na parimatch.co.tz
 
Mkuu

Naomba ufungue kabisa huo mkeka tuone option mpaka ukatengeneza hizo odd mlima, sio kawaida kabisa
Tennis hiyo sio mpira na hapo moja imefutwa
Screenshot_20191016-230814~2.jpeg
 
Naomba kuuliza swali kuhusu 1xbet.
Nikideposit 10000tsh nikacheza odd ya 1.3 nikashinda..nitaruhusiwa kutoa pesa yote(13000) au ntaruhusiwa kutoa 3000 peke ake?
 
Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
Hapa umetudanganya princess hawana tax ya 20%
 
Back
Top Bottom