Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
Nlipo ona tu eti premiere amna kodi nkajua tu huyu sio mwenzetu kabisa anaotea habari tu
 
Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
Princesbet wanakukata kodi then wanakurudishia kama bonus isiyo na vigezo wala masharti. Yaani ukiwa na odds 1.89 kwa stake ya 10000 utapata 18900
 
Naomba kuuliza swali kuhusu 1xbet.
Nikideposit 10000tsh nikacheza odd ya 1.3 nikashinda..nitaruhusiwa kutoa pesa yote(13000) au ntaruhusiwa kutoa 3000 peke ake?
Unaruhusiwa kutoa yote kwa sababu yote imeshazunguka. Shida ni pale unapotoa hela ambayo haijafanya chochote ndani ya akaunti then unataka kuitoa tena.
 
Miwili Ilitoa ODDS Kubwa Timu Moja Moja Nikaona Sio Kesi Nika Cashout Maana Pesa Ilishazid Mara Mbili

Now Limebaki Hilo Mechi Moja Ya Tarehe 20

Naivutia Kasi, Nikiona Vip Nai Cashout Au Naweka Buku 5 Kuupinga
Yaan Hachomoki Kwenye Huu Mkeka


IMG_20191017_085044_585.jpeg
 
Oi wazee wa kaz niaje, ebwana samahani niwithdraw pesa 1xbet km bet 8 hivi but zilizoingia MPESA ni 4 tu toka jana usiku. Wajuzi msaada mshawahi kuexperience hii changamoto
 
kwema humu isee nimepamic nilipigwa block juzi kati hapa ikabidi nifungue account nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Soccer, Estonia, Esiliiga10-17 19:00Jk Tammeka Tartu Ii - Fc Elvagame:TotalBet😱ver1.51.10

Soccer, Uruguay, Primer a Division10-17 22:00Liverpool M. -
Juniors Fcgame:TotalBet😱ver 1.51.15

Soccer, Brazil, Brasileiro Serie A10-18 01:15Avai Fc Sc - Sc Internacional Rsgame:TotalBet😱ver 0.51.13

Soccer, Brazil, Brasileiro Serie A10-18 01:15Santos Fc - Ceara Cegame:TotalBet:under 4.51.10

Soccer, Egypt, Premier League10-17 18:30Enppi Club - El-entag El-harbygame😀ouble chanceBet:1 or draw1.41

Soccer, Egypt , Premier League10-17 18:30Misr Lel Makasa - Al Masry Clubgame:TotalBet😱ver 0.51.10

Soccer, Egypt, Premier League10-17 21:00Pyramids Fc - Smouha Scgame:TotalBet😱ver 1.51.26
 
Back
Top Bottom