Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani ninaomba msaada wa hii gemu jee ninani anaweza kushinda hapa Caen vs Valenciennes ligue 2 ufaransa
 
Wadau nikitaka kuanza prosess za kudeposit natumiwa hii msg shida ni nini??
Msaada wenu
 
Mimi Nimeona Niwafuate Watu Wa Humu Tu
Hakuna Analysis Wala Nin! Kavu Kavu
BASIASI Kaweka Nimecopy Hapo Chini Mnapoona Mikeka Miwili Inasubir Time Moja.

Hiyo Miwili Iliyowin No Ya Mdau Aliyetoa Maoni Kuhusu
Handball, Ndio Naanza Leo Kubet Huo Mchezo
Nimegoogle Kujua Common Rules
Nikapita Sofascore Kuangalia Trend Za Nchi Na Idadi Ya Magoli
Nikaingia 1xbet Nikaanza Kucheza Live
Naangalia Possession Na Interval Ya Magoli

Nimeanza Na 20k

Plan:
Deposit 10k Kila Siku

Nitabaki Na Strategy Hii Mwezi Mzima Then Nitatoa Feedback

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…