Phd young junior
Senior Member
- Dec 24, 2016
- 119
- 88
Hata kwangu hamnaIpooo
Hata kwangu hamnaIpooo
Hlf ngoja niulize wakongwe kama ulideposit kwa mobile payment hlf unataka utoe kwa bank inawezekana kweliMobile payments wamezitoa [emoji24][emoji24]
Hata kwangu hamna
Hlf ngoja niulize wakongwe kama ulideposit kwa mobile payment hlf unataka utoe kwa bank inawezekana kweli
Hlf ngoja niulize wakongwe kama ulideposit kwa mobile payment hlf unataka utoe kwa bank inawezekana kweli
Dah nimeweka milioni yangu mle msaada mobile payment aipo natoaje aise
Kuna cku nilichat nao nikawaulza hili wakasema haiwezkan mpaka udeposit kiac flan kwa njia unayotaka kutolea ubet then ndo utoe kwa njia hiyo nilifnya hivyo nikifanikiwa walpoondosha Bitcoin nikadeoposit kwa tigo pesa nikawithdraw kwa tigo pesa zote zikatokaHlf ngoja niulize wakongwe kama ulideposit kwa mobile payment hlf unataka utoe kwa bank inawezekana kweli
Hlf ngoja niulize wakongwe kama ulideposit kwa mobile payment hlf unataka utoe kwa bank inawezekana kweli
Subiria Hadi ucku Kama hazijarudi jaribu hiii njia walinielkza wao Mana Jana ucku pia Airtel haikuepo asubuh ikarud na Bitcoin izi wiki zilzopita haikuepo nayo imerud tusubirin tujioneeNmejarbu imekataa
Sportpesa atakuwa amelalamika maana kama wiki hivi Abbas Tarimba akiwa ITV alionesha kuwananga 1xbet akisema kuwa hawalipi kodi na wao (Sportpesa wanalipa kodi). Nahisi ndo vita iko hapa
Kwani hawajui kuwa hizi pesa zinapita Mlipa kwan hao Mlipa hawalipi Kodi huko mpk wakafnya wivu hivyoSportpesa atakuwa amelalamika maana kama wiki hivi Abbas Tarimba akiwa ITV alionesha kuwananga 1xbet akisema kuwa hawalipi kodi na wao (Sportpesa wanalipa kodi). Nahisi ndo vita iko hapa
1xBet Mobile Payment is baaaaack. Safi sana !!!
Nimewithdraw via M-Pesa saiv yani ni "chap kidogo" ... dk 3 tu imoooooo !!!
Mbona kwa mpesa ni fasta tu inasoma1xbet hizi njia za Kudeposit kwa kutumia Tigo pesa sijui mpesa aisee mbona hazieleweki zipo au hazipo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24]
Boss ingia kwanza uangalie maana wenzio hatuzioniMbona kwa mpesa ni fasta tu inasoma
Sizioni mbonqa hazipo
Nimeona kweli hazipoBoss ingia kwanza uangalie maana wenzio hatuzioni