Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Inabidi makampuni ya tz wajifunze kwa 1xbet na sio kuleta figisu.
Sema uzuri wake kadi ninayo, siathiriki sana.
Mkuu unapataje kadi tafadhari kuna pesa zangu kule
Inabidi makampuni ya tz wajifunze kwa 1xbet na sio kuleta figisu.
Sema uzuri wake kadi ninayo, siathiriki sana.
Mi mwenywe Nina kadi
Mi mwenywe Nina kadi
Kadi gani ya njano?
Mi natumia BANCABC, nenda UHURU HEIGHT au KARIAKOO msimbazi. Ni 15,000Mkuu unapataje kadi tafadhari kuna pesa zangu kule
Mi natumia BANCABC, nenda UHURU HEIGHT au KARIAKOO msimbazi. Ni 15,000
Umepata vp kadi
Vipi kwenye kutoa hela inaingia moja kwa moja kwenye simu au?Mkuu m mwenywe natumii hii Banc ABC
Mi natumia BANCABC, nenda UHURU HEIGHT au KARIAKOO msimbazi. Ni 15,000
Unapata kadi ikiwa imekamilika kila kitu, hakuna cha kuandika barua wala nini kama NMB.Sawa mkuu nikipata then nafanya hatua gani ili kuweza kuitumia ktk 1xbet
Mkuu ni visa tu hawana MasterCard au ile visa ya Ixbet ni tofaut na ya prepaid card Mana ni wiki tatu Sasa wameandka withdraw by visa is temporary unavailable vipi hapoUnapata kadi ikiwa imekamilika kila kitu, hakuna cha kuandika barua wala nini kama NMB.
Unachofanya ni kudeposit kwenye kadi kwa kutumia mpesa, tigo pesa nk au bancabc wakala, kisha unaingia 1x na kufata process za kudeposit kwa visa.
[emoji1][emoji1][emoji1] naona 1xbet kumekucha kazi kwetu
Unapata kadi ikiwa imekamilika kila kitu, hakuna cha kuandika barua wala nini kama NMB.
Unachofanya ni kudeposit kwenye kadi kwa kutumia mpesa, tigo pesa nk au bancabc wakala, kisha unaingia 1x na kufata process za kudeposit kwa visa.
Haya turudini nyumbani kinyonge..