Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii
PicsArt_10-18-05.20.07.jpeg
 
Jamani hawa sportpesa kama vipi tusibet wanamajungu alafu option zao mbovu. wanamatangazo mengi kwenye tv na radio alafu option zao mbovu bora hata kampuni mama m bet. Ndani ya wiki moja 1Xbet nimeshampiga karibu 5m kitu ambacho kampuni za bongo huwezi, tena kampuni kama sportpesa ndio kabisaaaa mechi chache yani kimeo tu.
Unatumiaga option gani?
 
Kwa hiyo makampuni ya bongo kuona hivi yanateseka .niliweka 500k gemu moja kwenye parimatch ile mechi ikakatishwa ktk ya mchezo wakataka wanizime
Screenshot_20191018-181949.jpeg
 
TUJARIBU MITAMBO
FARANCE
troyes-Le mans 1
Chamois-Guingap 1.5ov
Ac Ajaccio-Nancy 1

GERMANY
RW Efurt-Bischofswedaer 1.5ov
 
Unatumiaga option gani?
Mm nyani mzee sitabiriki kabisa. Ila ukiwa 1Xbet usiwe na wenge kabisa. Kule tupia macho mipira ya kurusha, offside, corners tena kibonde akila umeme anapewa odds kama zote kupata kona 2 na zaidi tangu alipopata umeme, gg inatoa sana tena unakuta timu ishapigwa 7 kwa bila halftime jamaa gg anaipa 6 au 5. Sisi wazee wa Icehockey unaletewa hadi ligi daraja la tatu huko. Wakati sportpesa huwezi kuta mechi kama hizo
 
1xbet hizi njia za Kudeposit kwa kutumia Tigo pesa sijui mpesa aisee mbona hazieleweki zipo au hazipo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24]

Duuh kizungumkuti ... zimepotea tena. Mikeka ikitiki sijui tunatoka?
 
Wazee hakuna mtu aliyechat au kuwa tumia email 1xbet kuhusu hzo mobile payment
 
Daah 1xbet kuna milioni yangu wakuu naweza toa vp pesa zangu am confused
Jiunge na EXIM bank au BancABC VISA card uweke pesa kidogo 1XBET ubet kidogo then utaweza kuzitoa pesa zako kwa VISA. hatujui hiyo technical issue yao itaisha lini, watu wengine mpaka wamechachawa. Sungusunguu Angalia kwenye mishale kwenye picha.
2019-10-18_23-06-31 - Copy.png
 
Jiunge na EXIM bank au BancABC VISA card uweke pesa kidogo 1XBET ubet kidogo then utaweza kuzitoa pesa zako kwa VISA. hatujui hiyo technical issue yao itaisha lini, watu wengine mpaka wamechachawa. Sungusunguu

Mkuu nimeambiwa nawadau nyuma kuwa nikafate kadi laki naambiwa tena cwez toa pesa kwa njia tofauti na niliyo tumia kuweka
Msaada kama unaulewa nauhakika waili swala mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naunaweka vp pesa 1xbet
Au u mean naiweka kwenye akaunti ya bank alafu nafata proces zaku deposit
 
Mkuu nimeambiwa nawadau nyuma kuwa nikafate kadi laki naambiwa tena cwez toa pesa kwa njia tofauti na niliyo tumia kuweka
Msaada kama unaulewa nauhakika waili swala mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukishaweka kwa VISA card ukabet utaweza kuzitoa zote zile ulizoweka kwa mobile payment na hata kama utakuwa umeshinda kupitia njia ya VISA Card.
 
Back
Top Bottom