Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Italy
Juventus Turin v Bologna FC
Tip: 1 &OV1.5

England
2: 12097 - Crystal Palace v Manchester City
Tip: GG&OV2.5

Spain
SD Eibar v FC Barcelona
Tip: GG

Belarus
FC BATE Borisov v FC Gomel
Tip: 1 -

Total odds
BOOOOOOOOOOOM... LDN odds
mkuu basiasi me nasubiri zile ngumu kumeza
 
Wakuu msaada wa haraka niko exim naambiwa ipo master card sasa sijui ndio hiyo au
MasterCard inatumika nayo ila bank nyengne hazipokei pesa kutoka huko ila unadeposit cjajua kwa exim then ili ueze kufnyia online purchase Kuna form unajaza wanaiactivate na inakua sio mda huo huo Asa leo weekend kuepushq huu usumbufu Cha kukushaur njia ya haraka bac Bitcoin me naona ni nyepec sana na sio ngumu watu wanaikimbia kutokana na makato kudeposit ila funguo account Bitcoin nenda Google ukaitafute site ya local bitcoin Yani ukimlza tu unadeposit hapo hapo utabet ukishinda utatoa pesa zako hapo hapo make sure odds yako inaanzia 1.1 kwenye mkeka wako hata km umezikusanya match 3 ukapata odds hizo

KUNA MTU ALIELKEZA KUDEPOSIT NA WITHDRAW KWA BITCOIN MMOJA AUSHUSHE HAPA AJUE VYA KUFNYA MM CJUI JINSI YA KUUPATA
 
Kukatwa haina tabu mkuu
 
Watu wanaulizia njia za bank for long run....sio kwa ajili ya siku mbili tatu hizi

Wale wa njia za bank mbona mnabana maelezo wakuuu.... watu tunataka kuachana na hizi mobile payments method
 
Watu wanaulizia njia za bank for long run....sio kwa ajili ya siku mbili tatu hizi
Mkuu huyo anachoharakia ni pesa yake ilioko huko kwnza wacje wakafungia na njia nyengne kwa kusubiria visa card hata hivyo Bitcoin nayo ni account km account nyengne unatumia kwa mda unaotaka mwenyew sio kwmba ukishatumia Mara moja ndio bac
 
Back
Top Bottom