Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Sisi ambao hatuna njia nyingine za kuwithdraw hela zetu zilizopo 1xbet mnatusaidiaje wadau
mkuu basiasi me nasubiri zile ngumu kumezaItaly
Juventus Turin v Bologna FC
Tip: 1 &OV1.5
England
2: 12097 - Crystal Palace v Manchester City
Tip: GG&OV2.5
Spain
SD Eibar v FC Barcelona
Tip: GG
Belarus
FC BATE Borisov v FC Gomel
Tip: 1 -
Total odds
BOOOOOOOOOOOM... LDN odds
Mkuu kuna bonus walinipa 5k achana na firt deposit ambayo pia walinipa 5k lakini hiyo bunus imekuwa ngumu kuibetia kama unafahamu naomba nielekeze
Prepaid cardWakuu msaada wa haraka niko exim naambiwa ipo master card sasa sijui ndio hiyo au
Prepaid card
Ichukue na yenyewe haina shidaInamaana iyo ninayo ambiea sio mkuu
Sijajiunga bitcoin mkuu na sijui najiungajeMbona kwa bitcoin ni rahis sana mkuu
Ichukue na yenyewe haina shida
Ichukue na yenyewe haina shida
MasterCard inatumika nayo ila bank nyengne hazipokei pesa kutoka huko ila unadeposit cjajua kwa exim then ili ueze kufnyia online purchase Kuna form unajaza wanaiactivate na inakua sio mda huo huo Asa leo weekend kuepushq huu usumbufu Cha kukushaur njia ya haraka bac Bitcoin me naona ni nyepec sana na sio ngumu watu wanaikimbia kutokana na makato kudeposit ila funguo account Bitcoin nenda Google ukaitafute site ya local bitcoin Yani ukimlza tu unadeposit hapo hapo utabet ukishinda utatoa pesa zako hapo hapo make sure odds yako inaanzia 1.1 kwenye mkeka wako hata km umezikusanya match 3 ukapata odds hizoWakuu msaada wa haraka niko exim naambiwa ipo master card sasa sijui ndio hiyo au
MasterCard inatumika nayo ila bank nyengne hazipokei pesa kutoka huko ila unadeposit cjajua kwa exim then ili ueze kufnyia online purchase Kuna form unajaza wanaiactivate na inakua sio mda huo huo Asa leo weekend kuepushq huu usumbufu Cha kukushaur njia ya haraka bac Bitcoin me naona ni nyepec sana na sio ngumu watu wanaikimbia kutokana na makato kudeposit ila funguo account Bitcoin nenda Google ukaitafute site ya local bitcoin Yani ukimlza tu unadeposit hapo hapo utabet ukishinda utatoa pesa zako hapo hapo make sure odds yako inaanzia 1.1 kwenye mkeka wako hata km umezikusanya match 3 ukapata odds hizo
KUNA MTU ALIELKEZA KUDEPOSIT NA WITHDRAW KWA BITCOIN MMOJA AUSHUSHE HAPA AJUE VYA KUFNYA MM CJUI JINSI YA KUUPATA

Kukatwa haina tabu mkuu
Uko North ya wapi wewe?Dive kufungua ac ya visa exim ni sh ngap maan hyo BancABc naona uku north bado hawajafika
Mkuu huyo anachoharakia ni pesa yake ilioko huko kwnza wacje wakafungia na njia nyengne kwa kusubiria visa card hata hivyo Bitcoin nayo ni account km account nyengne unatumia kwa mda unaotaka mwenyew sio kwmba ukishatumia Mara moja ndio bacWatu wanaulizia njia za bank for long run....sio kwa ajili ya siku mbili tatu hizi