Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tukumbuke.

Tumetoka kwenye International break wachezaji wengi wapo fit.

Pia game ni nyingi sana na huwa ni siku ya mikeka mingi kuchanika.


Pamoja na hapo ni week ya UEFA.


Wale wa direct win kunahitajika darubini kali.


Ushauri : Ni week nzuri sana kwenye option ya magoli.



Adui yetu mmoja leo nayo ndio siku
 
⏩19.10.2019
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿scotland premier league
💎 celtic
V/S
💎Ross country
C/S(2-0/3-0)
❇️❇️Odds7+++

19-10-2019
🇨🇭🇨🇭switzerland super league
💎Basel
V/S
💎Thun
C/S(3-0/3-1)
❇️❇️Odds 11+++
 
Celtic w
Buyern gg
Totty ....in
Barcelona gg
..tltico Madrid in
Basel win.



,
 
Hata zikirudi watarudisha na zitapotea tena hadi pale watakapofuata sheria za Tanzania.
Hawa walikuwa wanafanya hivihivi Uganda sasa hivi wamenyoosha mikono 1xbet iko registered Uganda.

Ushamba siku zote ni mzigo na kujua kwingi mbele huwa giza
Punguza maneno ndugu kaa ukijua hata bila hzo mobile payment watu tuna place bet sasa nakushangaa wewe unavyo payuka hvyo
 
D best
 

Attachments

  • IMG_20191019_124800_057.jpg
    55.1 KB · Views: 17
  • IMG_20191019_124752_190.jpg
    21.7 KB · Views: 15
  • IMG_20191019_124756_119.jpg
    34.8 KB · Views: 17
  • IMG_20191019_124746_019.jpg
    24.3 KB · Views: 16
  • IMG_20191019_085126_910.jpg
    71.9 KB · Views: 16
  • IMG_20191019_085130_954.jpg
    78.1 KB · Views: 16
  • IMG_20191019_124733_657.jpg
    25.6 KB · Views: 14
  • IMG_20191019_085119_155.jpg
    72.8 KB · Views: 15
  • IMG_20191019_124739_400.jpg
    21.8 KB · Views: 16
  • IMG_20191019_085123_514.jpg
    90.1 KB · Views: 17
  • IMG_20191019_124721_700.jpg
    26.8 KB · Views: 18
  • IMG_20191019_124725_846.jpg
    24.3 KB · Views: 18
Ajax win
Man city win
Barcelona win
Juventus win
Napol win
Buyern win

Odd 5.01
Tukutane kwa wakala
Wakuu hivi huyu Barcelona wa leo vipi mbona odds zake zilikuwa 1.32 sasa zimeongezeka hadi 1.50. Kuna haja ya kuichukulia kwa umakini hii mechi ya Barcelona, huenda kuna majeruhi kibao ndani ya kikosi chake.
 
Wakuu hivi huyu Barcelona wa leo vipi mbona odds zake zilikuwa 1.32 sasa zimeongezeka hadi 1.50. Kuna haja ya kuichukulia kwa umakini hii mechi ya Barcelona, huenda kuna majeruhi kibao ndani ya kikosi chake.
Usiogope naangalia mpira hapa barca anashinda anaihitaj point 3 aongoze lig
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…