Tengeneza mkeka kuanzia game 3 na odd kuanzia 1.3Msaada: Anaejua jinsi ya kuzitumia bonus za 1x BET mana nimejaribu nimeweza kuitumia moja ila ile aina ya pili ya bonus inagoma
tupe link
Mostbet mkuu?Usijaribu kabisa utaweka pesa ila niamini hautakuja itoa maisha yako yote
We umeaanza jana..Acha kumtisha mbona mimi nimeweka na kutoa.
Kiwango cha chini cha kuweka ni 1000/- kutoa pia 1000/-
Mostbet mkuu?
man u vs Liverpool over 4.5 total odds 6. Nahiisi itatoa leo.
Acha kumtisha mbona mimi nimeweka na kutoa.
Kiwango cha chini cha kuweka ni 1000/- kutoa pia 1000/-
punguza maneno mkuuPalace leo Anapigwa sichini ya tatu....akifungwa mawili nakojoa mpaka JF
Anaota huyo
Nambie BasiasiAnapigwa sichiniya tatu....akifungwa mawilinakojoa mpaka jf
binafsi naona man u ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli mengi. Liverpool pia ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli ubashiri wangu under 3.5 goals, total yellow card over 2.5, substute player to score no.man u vs Liverpool over 4.5 total odds 6. Nahiisi itatoa leo.
RASIMI NAACHA KUBETI.binafsi naona man u ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli mengi. Liverpool pia ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli ubashiri wangu under 3.5 goals, total yellow card over 2.5, substute player to score no.
Throwin inn over 44.5, shoot on target under 8.5
Sema unapumzika tu mkuuRASIMI NAACHA KUBETI.
Betting imekuwa ngumu sana siku hizi sababu ya jiwe mi ngoja nisubirie miaka 6 ipite taanza tena ku place betting.