wale wazee wa sub...msishangae kuhusu odds kushuka hiyo ni kawaida kwenye UEFA NA EUROPA maana hata Jana game ya Atlentico Madrid waliweka 1.3. Jana nilicheza option ya NO RED CARD FULL TIME ilikuja kuzingua kwa man city mchezaji mmoja alikula red card so na Leo najaribu upepo pia utakuwaje so tunaweza kuungana au ukapotezea cha msingi nimewapa HINTS za kumpiga kanji....LEO NBA game za ZINAANZA BUT NI VIZURI KUANGALIA ROUND YA KWANZA MATOKEO YANAENDAJE THEN ROUND YA 2 ndo pesa zitaanza kuonekana. nawatakia siku njema