Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Okina depend na odds utakazo weka mzee angalau isizidi 50mil
Tatizo misemo kaka wala si mimi lolπ ππ mkuu una matatizo
Mara nyingi huwa wana limit kiasi utakacholipwaHv wakuu maximum stake ni sh. ngapi kwenye makampuni yetu ya kibongo. Kwa mfano inaruhusiwa kustake sh. milioni 5.
Inapokea
Mkuu mambo mengine inabidi ukae kimya tu[emoji28][emoji28]Haipokei wala kuhusika na maswala.ya betting zaidi ya kulipia manunuzi ya bidhaa pekee
play master mkuuKampuni gani kuna option ya sub
Shukran mkuuMara nyingi huwa wana limit kiasi utakacholipwa
Mfano betpawa mwisho wa malipo kwa bet ni mil 25
So itategemea odd zipoje
Formula ni stake x odd = isizidi 25,000,000
Hio umesema wewe sio mimi nayetumia!
π π π π yan wewe odd 50 unaeka 100..jana nimeweka odd 4 nikatupia 22400 ikaondoka yote...wewe odd hizo unazembea, unatia hasira hata kama hela siyo yangu baada ya kula!Mkuu ukiazi wangu uko wapi mbona unanitukana bila sababu..nimekosea wapi??
Hahahaha ushachanika mdaUhakika 97.9%View attachment 1243410
Mkeka bado upo hai kabisa unapumuaHahahaha ushachanika mda
100??hebu chekii vizuriiπ π π π yan wewe odd 50 unaeka 100..jana nimeweka odd 4 nikatupia 22400 ikaondoka yote...wewe odd hizo unazembea, unatia hasira hata kama hela siyo yangu baada ya kula!