Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Jmn nmebet live mamaeee cska moscow kanila hela yangu [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Shingapi???
Jmn nmebet live mamaeee cska moscow kanila hela yangu [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Bet wonUhakika 97.9%View attachment 1243410
Website yao hakuna? Kamari mbaya sana unacheza hata huna namba za wahusikaMwenye namba ya huduma kwa wateja Mchezabet... Nimetuma mzigo nicheze kikapu .... Haijafika mpaka sasa......
Kashaondoka na kijiji cha watu huyoAseno ugonjwa wa moyo kweli
Lazimaaa wachangieree sana mishahara ya waleeee mabinti kariakooooooooo@PDiddy twende kazi mkuu ... waache hawa wanaoku-ignore waendelee kuweka mikeka kwa buku buku wakisubiri miujiza.
Kama mtu kafuata ushauri wangu huu naona atakuwa anafadhali ueropa ni ngumu ni uzoefu nayo miaka 9 yanii ukila hela nenda unyewe safari 3 asubuhiUeropa league ...kwa uzoefu wangu game nyingi za usiku wa futui alhamisi huwa zinakuwa na matokeo magumu sana
1.game za ueropa nyingi 28 + ndo nyumbani kwake.
2.team nyingi zina uwezo sawa tofauti na uefa so both team to score ndo kwake (gg)
3.direct win ni hatari sana kwa leo ukiondoa dominant character kama arsenal,sevilla na porto
Leo ni usiku wa second half more,corner nyingi,sub za kutosha gg&3+ under na over ndo kwake good luck wafanyabiashara wenzangu!! Stake at your own risk
Taufata kesho Leo nimepigwa vibaya sanaKama mtu kafuata ushauri wangu huu naona atakuwa anafadhali ueropa ni ngumu ni uzoefu nayo miaka 9 yanii ukila hela nenda unyewe safari 3 asubuhi
hongeraHahahaha ushachanika mda
hahahahahahahahahahAiiisee kubeti kweli ni nomaa yani saizi hamna kula mfurulizo yani ukila 80 au laki basi juwa lazima irudi unakuwa unachezea kichapo kila siku hata ukiweka timu moja nayo inachana ukisema uende michezo mingine nako unapigwa tuu yani hamna kwa kugeukia mpaka hela yao irudi , Hizi kamali ni hatari sana unaweza ukafa kwa presha matokeo ya Leo
.jackpot nimepigwa
Direct win nimepigwa
Double chance nako nimepigwa timu hazitaki kufuna, ukiweka draw basi juwa kunakuwa na mvua ya magori
Waganga wa kienyeji wangekuwa ni wakweli si wangenipa dawa nishinde Jackpot tu