bonuswamekupa bony sh ngapi
sema mmekula wengiNashukuru Mungu leo nimepiga 10/13 jackpot ya betpawa ila lengo langu liko palepale kulamb zote 13/13 najua mwaka hautaisha lazime nimkandamize kanji... nimepata imani kubwa wiki ijayo nitabeti mikeka 20 leo nilibet 8View attachment 1243784View attachment 1243785
Bonus ndogo kama 5k hivibonus
Sio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubukuWebsite yao hakuna? Kamari mbaya sana unacheza hata huna namba za wahusika
Hahahaha yawezekan hajui kuwa we ni mkongwe katika tasnia hii lakini kama angejua watu wana miaka kama yote hivi ulingoniSio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubuku
Wala hata usiumie ueropa ni ngumu sana kucheza kamari yani ndo maana halisi ya kubashiri!! Leo nayo siku pesa ipoTaufata kesho Leo nimepigwa vibaya sana
Kumbe ndo umeshtuka leo mkongwe jackpost ni kiini macho halafu cha kushangaza hawawekwi hadharaniWahuni sana hawa jamaa watu 254 wameshinda Mechi kumi ni utapelii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Alhamisi huwa siplace betWala hata usiumie ueropa ni ngumu sana kucheza kamari yani ndo maana halisi ya kubashiri!! Leo nayo siku pesa ipo
Acha kubet jero ili upate laki 7 au milion 2 utapigwa kila siku na kanji.Wadau nipeni elimu ya njia rahisi ya kubeti
Kampuni ya kubetiKampuni gani kuna option ya sub
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kampuni ya kubeti
Mkuu nimekuText PM naomba unijibu pleaseGERMANY: 2. Bundesliga
18:30Holstein Kiel - Bochum
Tip: Full time draw
Odd: 3,83
westerlo ft x
Mkuu kwa yoyote anaejua jinsi ya kutumia bitcoin naomba msaada wa maelezo jinsi yakufungua acc# mayoo, sungusungu na wengine wanaotumia njia hii