Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenye namba ya huduma kwa wateja Mchezabet... Nimetuma mzigo nicheze kikapu .... Haijafika mpaka sasa......
 
Aiiisee kubeti kweli ni nomaa yani saizi hamna kula mfurulizo yani ukila 80 au laki basi juwa lazima irudi unakuwa unachezea kichapo kila siku hata ukiweka timu moja nayo inachana ukisema uende michezo mingine nako unapigwa tuu yani hamna kwa kugeukia mpaka hela yao irudi , Hizi kamali ni hatari sana unaweza ukafa kwa presha matokeo ya Leo
.jackpot nimepigwa
Direct win nimepigwa
Double chance nako nimepigwa timu hazitaki kufuna, ukiweka draw basi juwa kunakuwa na mvua ya magori

Waganga wa kienyeji wangekuwa ni wakweli si wangenipa dawa nishinde Jackpot tu
 
Nilitoa tahadhari mapema ueropa ni hatari sana ukiweka direct wina imekula kwako....kama mtu alifuata ushauri wangu wa 28+ au second halaf more au gg anacheka saivi
 
Kama mtu kafuata ushauri wangu huu naona atakuwa anafadhali ueropa ni ngumu ni uzoefu nayo miaka 9 yanii ukila hela nenda unyewe safari 3 asubuhi
 
Mkuu kwa yoyote anaejua jinsi ya kutumia bitcoin naomba msaada wa maelezo jinsi yakufungua acc# mayoo, sungusungu na wengine wanaotumia njia hii
 
hahahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…