Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi naona nideposit kilo kwa bitcoin..ili niwe natoa kiwango hicho hicho
Kuna mawili
Ama wakati unadeposit kulikua na salio ulilodeposit kwa njia nyingine?

Au 1xbet wanakufanyia figisu

Naona watu wengi sana wanao deposit kwa njia ya bitcoins wanapata hii shida

Mimi kwangu sijapata hii shida kabisa

Sms inasema kama ulideposit kwa njia tofauti basi utoe kwa mgawanyo sawa na uliodeposit kwa kila njia

Je ulideposit kwa njia tofauti salio likakutana?
 
basketball kwa nchi za USA, Philippines na China kwa league kubwa huwa ni Dk 12 kwa kila quarter lakini the way wanavyocheza hizo huwa sio exactly dk 12 kwa saa za kawaida utanielewa pale utakapo chukua saa yako na kufuatilia. so kwa nchi zingine zote zilizobaki huwa ni Dk 10 kwa kila quarter na yenyewe sio exactly dk 10 kwa saa za kawaida huwa ni zaidi ya hapo .

katika basketball huwa Kuna kufungana kwa point, katika uwanja wa basketball unaweza kugoogle ukaona structure yake utaona Kuna shape ya D katika kila goli so mipira yote ambayo inafungwa ndani ya hiyo D huwa inahesabika kama point 2, mipira yote inayofungwa Nje ya D huwa inahesabika kama point 3. pia foul inapofanyika ndani ya D huwa penalties zinatolewa, na huwa mpigaji anapewa chance mbili zakurusha Mpira, kila mpira unarushwa kama ukiingia unahesabika kama point 1 so kama akipata zote anakuwa amefunga point 2.

Katika basketball hakunaga matokeo ya draw, zinapokamilika quarter nne na team zote zimefungana point sawa huwa zinaongezwa extra time, na ikitokea katika extra time wametoka draw zinaongezwa zingine tena mpaka mshindi apatikane, hivyo basi kwa michezo ambayo huwa quarter moja inachukua Dk 12, basi katika extra time huwa zinaongezwa Dk 6, na kwa mechi ambazo quarter huwa zinachezwa dk 10 basi kwenye extra time huwa zinaongezwa dk 5.

kama ilivyokuwa kwenye michezo mingine option za over and under na zenyewe zinatumika kulingana na idadi ya point za jumla ya mechi au team binafsi itategemeana ww unataka kubet vipi.

so option zingine zilizpo kwenye mpira hata kwenye basketball zipo mfano kama hapo juu over na under, handicap, direct win, draw kama ukiwa na confidence ingawa ni Mara chache sana kutokea.

Angalizo kwenye makampuni ya kubet huwa wanaweka mfano over 150.5 include O.T hii inamaana point zitahesabika hadi zile za extra time kama watatoka draw baada ya quarter zote 4, na wakata mwingine unakuta hawaweki hivyo so umakini unahitajika maana unaweza ukaliwa huku unaanza kuilaumu system imekucheat kumbe hujaelewa.

kama hujaelewa sehemu unaweza kuuliza!!
Mkuu naomba unielekeze dakika za basket, 1 qouter ina dakika ngapi? Half INA dk ngapi? 3 qouter ina dk ngapi? Na full time ni dk ngapi? Na ikitokea wakaongeza dk ua wanaongeza dk ngapi?
 
Mimi naona nideposit kilo kwa bitcoin..ili niwe natoa kiwango hicho hicho

Mimi naona nideposit kilo kwa bitcoin..ili niwe natoa kiwango hicho hicho

Mkuu 1xbet njia uliodeposit ndio utakayo withdraw nayo

Hiyo mseji inasema ukitaka kutoa basi utowe kwa mgawanyo sawa na ulivyo deposit

Mfano ulideposit
Visa card 10,000
Bitcoins 20,000
Salio lako baada ya won kadhaa 3,000,000

Hapo utaweza kutoa
Visacard 1m
Bitcoins 2m

Kwa mgao huo inategemea sasa una balance kiasi gani ili kupata uwiano

Na unapofanya uwiano hakikisha baada ya mgao huo uwiano uwe unakidhi vigezo vya kutolewa
Mfano kwa bitcoins ni sh elf 94
Bank card elf 74

Njia nyingine ni kubet kwa balance yako yote kwa bet yenye odd kuanzia 1.3, uki won basi zote zitatoka kwa njia moja ya mwisho kdeposit

So huna haja ya kudeposit unatakiwa upandishe mtaji ukidhi vigezo maana jamaa ukideposit kisha utoe bila kubet mzigo hautoki hadi ubet odd 1.3
 
Msaada kwa ambaye ashawahikutumia kampuni ya 22BET, kwani kuna usumbufu wowte katika kuweka na kutoa pesa maana naona kuna kudeposit kwa kutumia Voda na airtel
 
Hvi kuna mtu amewahi kudeposit 1xbet kwa njia ya SKRIL je ugumu wake upoje?
 
Msaada kwa ambaye ashawahikutumia kampuni ya 22BET, kwani kuna usumbufu wowte katika kuweka na kutoa pesa maana naona kuna kudeposit kwa kutumia Voda na airtel
Mie ni mdau wa 22bet sija wahi pata usumbufu wowote kwenye kuweka wala kutoa
 
Nimeelewa kiasi mkuu, je kwenye za kila quarter ua zinajitegemea au zinaenda zinapandana? Mfano first quarter unakuta over 41.5 na under 41.5 then unachagua under, quarter ikishaisha matokeo ni 21 - 13 unakua ume win ila inapo kuja second quoter odd zinarudi kama za mwanzo hapa calculation zake inakuaje ili uendelee na second quarter bila kujichanganya mahesabu mkuu?
basketball kwa nchi za USA, Philippines na China kwa league kubwa huwa ni Dk 12 kwa kila quarter lakini the way wanavyocheza hizo huwa sio exactly dk 12 kwa saa za kawaida utanielewa pale utakapo chukua saa yako na kufuatilia. so kwa nchi zingine zote zilizobaki huwa ni Dk 10 kwa kila quarter na yenyewe sio exactly dk 10 kwa saa za kawaida huwa ni zaidi ya hapo .

katika basketball huwa Kuna kufungana kwa point, katika uwanja wa basketball unaweza kugoogle ukaona structure yake utaona Kuna shape ya D katika kila goli so mipira yote ambayo inafungwa ndani ya hiyo D huwa inahesabika kama point 2, mipira yote inayofungwa Nje ya D huwa inahesabika kama point 3. pia foul inapofanyika ndani ya D huwa penalties zinatolewa, na huwa mpigaji anapewa chance mbili zakurusha Mpira, kila mpira unarushwa kama ukiingia unahesabika kama point 1 so kama akipata zote anakuwa amefunga point 2.

Katika basketball hakunaga matokeo ya draw, zinapokamilika quarter nne na team zote zimefungana point sawa huwa zinaongezwa extra time, na ikitokea katika extra time wametoka draw zinaongezwa zingine tena mpaka mshindi apatikane, hivyo basi kwa michezo ambayo huwa quarter moja inachukua Dk 12, basi katika extra time huwa zinaongezwa Dk 6, na kwa mechi ambazo quarter huwa zinachezwa dk 10 basi kwenye extra time huwa zinaongezwa dk 5.

kama ilivyokuwa kwenye michezo mingine option za over and under na zenyewe zinatumika kulingana na idadi ya point za jumla ya mechi au team binafsi itategemeana ww unataka kubet vipi.

so option zingine zilizpo kwenye mpira hata kwenye basketball zipo mfano kama hapo juu over na under, handicap, direct win, draw kama ukiwa na confidence ingawa ni Mara chache sana kutokea.

Angalizo kwenye makampuni ya kubet huwa wanaweka mfano over 150.5 include O.T hii inamaana point zitahesabika hadi zile za extra time kama watatoka draw baada ya quarter zote 4, na wakata mwingine unakuta hawaweki hivyo so umakini unahitajika maana unaweza ukaliwa huku unaanza kuilaumu system imekucheat kumbe hujaelewa.

kama hujaelewa sehemu unaweza kuuliza!!
 
Nimeelewa kiasi mkuu, je kwenye za kila quarter ua zinajitegemea au zinaenda zinapandana? Mfano first quarter unakuta over 41.5 na under 41.5 then unachagua under, quarter ikishaisha matokeo ni 21 - 13 unakua ume win ila inapo kuja second quoter odd zinarudi kama za mwanzo hapa calculation zake inakuaje ili uendelee na second quarter bila kujichanganya mahesabu mkuu?
Hapo kwenye under/over ipo katika kila quarter au 1st half/2nd half au full time(kwa quarter zote)

Kama ulibet kwa 1st quarter over/under vitahesabiwa vikapu(point) kwa hiyo hiyo quarter ya kwanza.
Swala zima wewe angalia matokeo first quarter iliisha ngapi ngapi.

2nd quarter inavyoanza point zinaanza kuhesabiwa na mwisho wa 2nd quarter nitakuwepo. Na kuendelea. 3rd.... 4th....

Kuna 1st half hapa ni 1st & 2nd quarter ndio inakuwa 1st half. Kama ulibet over 80.5 first half basi watajumlisha point za 1st na 2nd quarter.

2nd half hapa ni 3rd & 4th quarter ndio inakamilisha hiyo 2nd half.

2nd half
 
Back
Top Bottom