Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo kwenye under/over ipo katika kila quarter au 1st half/2nd half au full time(kwa quarter zote)

Kama ulibet kwa 1st quarter over/under vitahesabiwa vikapu(point) kwa hiyo hiyo quarter ya kwanza.
Swala zima wewe angalia matokeo first quarter iliisha ngapi ngapi.

2nd quarter inavyoanza point zinaanza kuhesabiwa na mwisho wa 2nd quarter nitakuwepo. Na kuendelea. 3rd.... 4th....

Kuna 1st half hapa ni 1st & 2nd quarter ndio inakuwa 1st half. Kama ulibet over 80.5 first half basi watajumlisha point za 1st na 2nd quarter.

2nd half hapa ni 3rd & 4th quarter ndio inakamilisha hiyo 2nd half.

2nd half
Asante sana wakuu kwa kunielewesha, kumbe kwenye soccer nilikua napoteza muda na kupigwa za chembe na Kanji daily!!! Ila kumbe mambo iko huku kwenye basketball, ni mwendo wa minyama tuu.
 
Uhakika 95.4%

Stake what you can afford to lose View attachment 1244537
Bet won
Screenshot_2019-10-26-00-41-12.jpeg
 
Sio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubuku
Kumbe fala tu wewe unakuwa mwili tu akili hsikuwi,,
 
Unategemea kubeti ndiyo ulishe familia? Mie nilijuwa humu ndani kuna watu wanaojitambuwa tuu,, kumbe kunalinga limoja lipo,,, tafuta kazi maalumu ya kufanya usitegemee kamari tuu ndyo uendeshe maisha yako!! Kamari Fanya kama mchezo tuu na siyo ajira.. I hope umeelewa
 
Betpawa NI mikwundu yahn single bet kodi ya kushiba na Bado mpunga wanazingua kunipa ***** mda wa live inplay uunanipita ngoja wanipe changu nirudishe majeshi 22bet kwenye makato ya kutuma tu.....jinga sana betpawa
 
Mobile payment za bongo zipo?
 
Back
Top Bottom