komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,417
- 2,102
yaan mm nimempa apate goli 2Kwa jinsi man city wanavocheza leo watapata tabu sana
yaan mm nimempa apate goli 2Kwa jinsi man city wanavocheza leo watapata tabu sana
Naona watu mikeka inavyochanika kwa man cityKwa jinsi man city wanavocheza leo watapata tabu sana
Andaa mkeka mwingine tyuu mkuu Leo ni Siku ya watu kuliwa tuuyaan mm nimempa apate goli 2
Bado dk 45 nyingine braza.Naona watu mikeka inavyochanika kwa man city
Sasa kwa uchezaji huu wa man city atashinda kweli? Naombea Aston villa ampige kimoja tuuBado dk 45 nyingine braza.
Hua tunaamini zaidi dk 90+added time ndy tunahitimisha mkeka umechanika!
Tuliza mshono uzi usikatike.
Sasa
Sasa kwa uchezaji huu wa man city atashinda kweli? Naombea Aston villa ampige kimoja tuu
Ndicho nilichokua nakwambia utulize mshono uzi usikatike!Sasa
Sasa kwa uchezaji huu wa man city atashinda kweli? Naombea Aston villa ampige kimoja tuu
Kama unaliwa, liwa weweSiku ya wikend huwa ni siku ya kuliwa tyuu
Jamaa ana roho mbaya kweli watu wanalalamika kbsa hata kuwafariji unaombea mabaya zaid duh jaribu japo kuficha tabia zingineSasa
Sasa kwa uchezaji huu wa man city atashinda kweli? Naombea Aston villa ampige kimoja tuu
Acha tu yaan kakaJuventus kulikoni?
Kosa kubwa sana kumpumzisha Ronaldo...Acha tu yaan kaka
Naalaniwe mapaka kiama kisimame bure kabisa hawa mabibi wa turinJuventus na ulaaniwe maisha yako yote#$$&(*&;:’}{[