Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubuku
Mkuu kwenye basktball kipindi gani kinakuwa na magori mengi
 
Acha kubet jero ili upate laki 7 au milion 2 utapigwa kila siku na kanji.
Acha kubet eti kwa siku mikeka 10,mara huu both to score mwingne over mwingne direct win mwingine kadi,na kuendelea mwisho wa siku hakuna mkeka ulio tick na kila mkeka imechana timu moja moja.
Acha tamaa ili mponza fisi,chagua timu chache angalau zenye chance option ya 99.6% ili izo % zilizo baki mwachie kanji maana nae anafanya biashara.

Mimi kwa siku na bet timu nne tu ambazo ni tennis 1 na soccer game 3 ambazo jumla ya ODDS zinakuwa 1.89 au chini ya hapo na stake naweka laki na nusu ili faida nipate laki kwa siku.
Kwenye mfumo huo ndani ya siku 30 ninaweza nika win mara 24 na kupoteza mara 6.
Niki poteza sina haja ya kuweka mkeka mwingine mpaka kesho kitu ambacho kwa watu wengine una kuta kaweka treni kubwa ikifika mchana kuna game imechana anaweka tena ikifika jioni kuna game imechana anaweka tena ikifika ucku kuna game imechana anaweka tena,anakuja kulala usingiz wa mang'amu ng'amu kisa mkeka wa ucku huyo tuna muita ni mpotezaji wa pesa.

Siyo kwamba sipotezi ila kwa wiki ninaweza nika win siku sita na ku poteza 1.
So wiki inaisha umefunga hesabu ya faida ya laki 4 na mtaji laki na nusu ipo kwenye account.
Angalizo: biashara ya kwenye makaratasi simple sana ila ingia kwenye real ground uone utamu wake.
View attachment 1243906
Mkuu huwa ina bet option gani sana sana!
 
Uhakika 68.9%
Stake what you can afford to lose View attachment 1245522
Bet won
Screenshot_2019-10-26-22-02-52.jpeg
 
Back
Top Bottom