Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 910
- 625
Mkuu naomba unisaidie hii app
Mkuu naomba unisaidie hii app
Yanga tena kwa uchezaji ule na mbao atapigwa vibaya mno leoIla tukiacha mahaba leo yanga hatoki wale pyramids ni hatari sana wanakasi ya kisulisuli....sijuiii leo itakuaje halafu odds 2.78 aise
Kiongozi ulipataje line ya safari comMe mbona zinaenda utakuwa umekosea
Afrika spesho Odd 2Mkuu nasubiria odds 2 leo.
Kabisa mkuu kuna niga moja yuko pale pyramids ni hatari uwezakano wa kupata pyramids kupata goli ni mkubwaYanga tena kwa uchezaji ule na mbao atapigwa vibaya mno leo
Haya kazi kwenu odds ya 5,10,20,3 zote zinapatikana leo mambo ni moto ushindwe mwenyewe
Mkuu wewe utakuwa ni mgeni na mimi humu jukwaani,hizi ndo aina ya betting zangu,betting haina formula mkuu ndo maana jero inaongoza kula pesa nyingi kupata odds ya 5 siyo kazi ndogo boss..angali mfano wa betting zangu na kwa week na kula hadi mara 5Kuplace bet ya 500-1000 kuweka timu nyingi ni betting ya kizamani sana ndugu yangu yani hapa kuchomoka ni 20% ila mserbia kukupiga ni 80%
Betting ni sawa na sanaa ya kuviziana uku umeweka siraha za maangamizi vifichoni kutegea adui atakuja na siraha ipi.
Yani ni bora ni place bet ya 10,000 kwa odd 2 nifunge siku kuliko kujipa matumaini ya kupata kingi uku kwa mwezi red zikiwa nyingi
Pyramids wanashinda kweupe kabisaKabisa mkuu kuna niga moja yuko pale pyramids ni hatari uwezakano wa kupata pyramids kupata goli ni mkubwa
Mimi nimeanza ku bet 2011 kidogo na experience na hi kazi,betting imenipa life ndo maana imekuwa part an percel of my life kwa sasa......asikudanganye mtu hakuna option nyepesi
Tunachofanya ni ku minimize risk...tu odds ya 2 ni kazi kubwa kweli ndo maana hakuna anaye kula kila siku
Ila ni vizuri kuwa selective ili kupunguza uwezakano wa kuliwa jana juve na inter walikuwa sure odd 1.93 combined kuna mtu ameliwa 1m vittese alikuwa home jana sure bet kafa 2 bila betting ni biashara ila pia ni bahati nasibu 90% sure ila kuliwa kupo so usiponde aina fulani ya mtu ku bet as if yako ni sure sana

Mkuu Mayu hii app unatoaje hela mi nimeshinda mpunga wangu huko nimeshindwa kuutoaAfrika spesho Odd 2
Uhakika 54.3%
Stake wisely, mipira ya afrika figisu nyingiView attachment 1246035
Hatari sana sisi tulioko huku na vijijini tuwe wapoleMkuu hii ni hadi kwenye maduka yao