Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu Never stick na kampuni moja
Nipo na Betpawa, 1xbet, Gal, Meridian na Mcheza
Meridian;
wako poa sema Net yao kimeo balaa
Betpawa;
wako so fast, shida yao options na game chache na kodi
Gal;
wako vizuri options kibao, shida yao kutoa hela hadi kwenye maduka yao
Mcheza;
watu wengi hawawajui, wako vizuri mmno, shida site yao haipo frendly na kodi
Parimatch;
So far naona wanaongoza kwa kampuni za kibongo, sometimes wanachelewa ku update mikeka hata siku nzima
1xbet;
haina mpinzani, shida yao kutoa na kuweka ni mzunguko na wana utapeli flani ukiwapiga

Mzee baba naona unapiga miguu yote! Kampuni zote we twende..Saafii