Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Umenikumbusha mbali mkuu...mambo kama haya nimeyafanya sana mwaka juzi,ila tatizo la kuweka na kutoa pesa kwa mitandao yetu lilipoanza nikaenda likizo.Kuna mda kanji huwa analegeza kamba...unambamiza kuna mda anakimbia kweli kweli 😂😂😂😂
Ilikuwa raha sana..kulaza million moja au mbili ilikuwa kawaida.