king_azy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 265
- 965
Unaweza ku withdrawal online ila watakutumia codes kwenye email yako uliyoitumia kujisalia,kama kuna mtu unamuamini utamtumia hiyo code, account namba na kiasi ulichotoa
Hatari sana sisi tulioko huku na vijijini tuwe wapole