koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Hawa Atletico na wenzao wanakata tu mauno hawajui kwamba tumeweka helaYatatoka kweli braza..ngoja tuzidi subiri na ni dk ya 25 inaenda
Hawa Atletico na wenzao wanakata tu mauno hawajui kwamba tumeweka helaYatatoka kweli braza..ngoja tuzidi subiri na ni dk ya 25 inaenda
Mkuu mi Jana nimetuma pesa voda to safaricom haijafika Hadi sasa kuna NINI huenda una jua
HahahahahaKuna mtu alikuwa anamsubiri millwall apige mamillion...!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Braza siku mbili hizi natembelea nyota yako, uongo mbaya wewe umenitoa aisee. Ahsante Sana Mkuu.
Wacha nitembelee nyota yako mkuu ndgu yangu maan football haichelew kuleta usaliti hahaha
0-1/1-0cs yanga
2-2/1-1
ht x
Du hawa jamaa wako vizuri sana. Ni akina nani hawa mkuu?
Mkuu nasubiria odds 2 leo.Wakuu betting ina masoko mengi halafu ni kama tuna yapuuza na kukomaa na direct win na magoli
Kona nazo sio mbayaView attachment 1245963
Me mbona zinaenda utakuwa umekosea