Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Kuna mawili
Ama wakati unadeposit kulikua na salio ulilodeposit kwa njia nyingine?
Au 1xbet wanakufanyia figisu
Naona watu wengi sana wanao deposit kwa njia ya bitcoins wanapata hii shida
Mimi kwangu sijapata hii shida kabisa
Sms inasema kama ulideposit kwa njia tofauti basi utoe kwa mgawanyo sawa na uliodeposit kwa kila njia
Je ulideposit kwa njia tofauti salio likakutana?
Mkuu naomba unielekeze dakika za basket, 1 qouter ina dakika ngapi? Half INA dk ngapi? 3 qouter ina dk ngapi? Na full time ni dk ngapi? Na ikitokea wakaongeza dk ua wanaongeza dk ngapi?
Kulikua na salio wakati na deposit mkuu..kama laki hvi nilideposit kwa njia nyingine
Mimi naona nideposit kilo kwa bitcoin..ili niwe natoa kiwango hicho hicho
Mimi naona nideposit kilo kwa bitcoin..ili niwe natoa kiwango hicho hicho
Baada ya ku_deposite,je,ulicheza?
Kuna mdau aliambiwa na customer care kuwa anatakiwa kucheza kwa odd kuanzia 1.1 ndo atoe
Pesa ipo kesho uhakika 90%Wanangu nisukieni mkeka tupige ela..
Wanangu nisukieni mkeka tupige ela..
Mie ni mdau wa 22bet sija wahi pata usumbufu wowote kwenye kuweka wala kutoaMsaada kwa ambaye ashawahikutumia kampuni ya 22BET, kwani kuna usumbufu wowte katika kuweka na kutoa pesa maana naona kuna kudeposit kwa kutumia Voda na airtel
Unatumia njia ganiMie ni mdau wa 22bet sija wahi pata usumbufu wowote kwenye kuweka wala kutoa
Unatumia njia gani ku deposit na kutoa?Mie ni mdau wa 22bet sija wahi pata usumbufu wowote kwenye kuweka wala kutoa
basketball kwa nchi za USA, Philippines na China kwa league kubwa huwa ni Dk 12 kwa kila quarter lakini the way wanavyocheza hizo huwa sio exactly dk 12 kwa saa za kawaida utanielewa pale utakapo chukua saa yako na kufuatilia. so kwa nchi zingine zote zilizobaki huwa ni Dk 10 kwa kila quarter na yenyewe sio exactly dk 10 kwa saa za kawaida huwa ni zaidi ya hapo .
katika basketball huwa Kuna kufungana kwa point, katika uwanja wa basketball unaweza kugoogle ukaona structure yake utaona Kuna shape ya D katika kila goli so mipira yote ambayo inafungwa ndani ya hiyo D huwa inahesabika kama point 2, mipira yote inayofungwa Nje ya D huwa inahesabika kama point 3. pia foul inapofanyika ndani ya D huwa penalties zinatolewa, na huwa mpigaji anapewa chance mbili zakurusha Mpira, kila mpira unarushwa kama ukiingia unahesabika kama point 1 so kama akipata zote anakuwa amefunga point 2.
Katika basketball hakunaga matokeo ya draw, zinapokamilika quarter nne na team zote zimefungana point sawa huwa zinaongezwa extra time, na ikitokea katika extra time wametoka draw zinaongezwa zingine tena mpaka mshindi apatikane, hivyo basi kwa michezo ambayo huwa quarter moja inachukua Dk 12, basi katika extra time huwa zinaongezwa Dk 6, na kwa mechi ambazo quarter huwa zinachezwa dk 10 basi kwenye extra time huwa zinaongezwa dk 5.
kama ilivyokuwa kwenye michezo mingine option za over and under na zenyewe zinatumika kulingana na idadi ya point za jumla ya mechi au team binafsi itategemeana ww unataka kubet vipi.
so option zingine zilizpo kwenye mpira hata kwenye basketball zipo mfano kama hapo juu over na under, handicap, direct win, draw kama ukiwa na confidence ingawa ni Mara chache sana kutokea.
Angalizo kwenye makampuni ya kubet huwa wanaweka mfano over 150.5 include O.T hii inamaana point zitahesabika hadi zile za extra time kama watatoka draw baada ya quarter zote 4, na wakata mwingine unakuta hawaweki hivyo so umakini unahitajika maana unaweza ukaliwa huku unaanza kuilaumu system imekucheat kumbe hujaelewa.
kama hujaelewa sehemu unaweza kuuliza!!
Hapo kwenye under/over ipo katika kila quarter au 1st half/2nd half au full time(kwa quarter zote)Nimeelewa kiasi mkuu, je kwenye za kila quarter ua zinajitegemea au zinaenda zinapandana? Mfano first quarter unakuta over 41.5 na under 41.5 then unachagua under, quarter ikishaisha matokeo ni 21 - 13 unakua ume win ila inapo kuja second quoter odd zinarudi kama za mwanzo hapa calculation zake inakuaje ili uendelee na second quarter bila kujichanganya mahesabu mkuu?
Southampton 0 - 5 Leicester half time
Southampton ana umeme nimeamua kuchua GG
ODDS 2.60 Alafu kocha kamtoa forwad kaingiza beki