Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

For sure ur right mm mwenyewe ni mdau wa odd kubwa ila hapo nimepata shaka tena kwa 10k yan jumla 50k hapana this is a really scammer na akifuata DM ataanza kuwauzia odds mbil au tat!!!
 
For sure ur right mm mwenyewe ni mdau wa odd kubwa ila hapo nimepata shaka tena kwa 10k yan jumla 50k hapana this is a really scammer na akifuata DM ataanza kuwauzia odds mbil au tat!!!
Kwa ODDS Za 2.5, Unahitaji Timu Ngapi Kufika 50+?
 
Ila inawezekana anakula kweli na kunasiku hiyo game ya Millwall alipost akiitilia shaka, so alivoleta mrejesho Wa won nmemuamin kidogo kuwa hamna editing... Lakin ushauri wako mzuri Kama ataamua kutuwekea mkeka kabla ya won ili tumpige wote
 
Ni Kweli Mkuu Huyu Jamaa Kula Anakula Kweli Hofu Niliyo Nayo Ni Labda Atakuwa Anafuta Mikeka Lost, Ila Jana Nili Chart Nae Na Nikafanya Probability Ya Ku Win Nikaona Kwa Anachofanya Inawezekana

Mfano Ona Hapa:

Ukiwa Na Game Za ODD 2.5 Tano Unapata 97+ ODDS

Ila inawezekana anakula kweli na kunasiku hiyo game ya Millwall alipost akiitilia shaka, so alivoleta mrejesho Wa won nmemuamin kidogo kuwa hamna editing... Lakin ushauri wako mzuri Kama ataamua kutuwekea mkeka kabla ya won ili tumpige wote
 

Mkuu kila kitu kinawezekana kwenye betting mimi nina rafiki angu mpk mke wake anamuamsha usiku kubet game za south America jamaa yeye anajua under tu na kwa siku kula M7-10 ni kawaida now ana gari mbili
Odd 100+ kuzipata ni umakini wa mtu mfano jamaa anaweza weka game under 1.5 dk ya 15 tu apo ina odd 5 na akaweka mechi 3 tu akapiga mshindo

Swala la kua ana edit naweza sema ni sawa ila anachokifanya anafuta ticket alizo lose anaacha za win tu, ila kusema ana edit kwa kuchange figure au ujanja mwingine iyo nakataa apo kwenye ticket zake unaweza chukua izo namba za slip ukascan katika account yako ukazikata izo ticket original azijawa edited na nime prove mwenyewe

Swala la tatu ni kushare before ajapiga mshindo, kila mtu anakariba yake kaka kuna watu wanao amini wakiwa wanashare sana wanaliwa na wanapoteza umakini ila pia wengi wanaogopa kupoteza kundi kubwa au watu wengi mfano mimi uyu jamaa angu anakuelekeza kabisa kuwa akishare tu uwa analiwa sana ila akibet private anakula.
Hivyo anasema macho ya watu yanamtia Nagisi katika mikeka yake, ukienda private anakuelekeza mbinu zote na wala hakuombi ata mia yako zaidi anaweza kukupa mpk capital ya kuanzia
 
Hii option inaptkana kampun gan kk?
 
Nice nilikua sijui hii
 
Wajinga ndo waliwao... Waache tu bro
 
Poa
 
Ndugu nimeku pm Nina shida na ww
 
Wazee wenzangu. Kuna hii ofa 2000 ya kubetia kwa wale wenzangu na mimi tunaweza fanya kama mtaji. PM nikuelekeze cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…