Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kuhusu kuwithidraw vipi umejaribu umefanikiwa?
 
Hahaha imebidi nicheke maana nilikua sijaingia humu tangu ahsubui unadhan huwa nakula tyu hata mim kuna mda natandikwa
 
Kutoa pesa unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…