Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watanzania tumejaa roho mbaya. Hapo wanaumia kuona umepata na wao hawajapata. Kama hapa hutaona wakikoment kitu
Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni scammer au real?
IMG-20191028-WA0029.jpeg
IMG-20191028-WA0004.jpeg
Screenshot_2019-10-28-22-28-51.jpeg
IMG-20191028-WA0006.jpeg
IMG-20191028-WA0002.jpeg
 
Hapo ticket id ipo..ukiingiza tu kwenye system unauona mkeka,
Sijaelewa shida ipo wapi...huyo anaweka stake nyumba kwa odds ndogo anabutua, na idiot anaweka stake ndogo kwa odds nyumba anabutua vile vile, kikubwa hii mishe bahati pia inakuwepo...
 
Kuna watu wanaumia humu. Mtu kila siku anaweka odds 1.2 wenzake wameweka total 300 odds wamepata anawaona scammers. Na hapo kaonesha withdraw
 
Usikomaza ubongo wako mkuu bomu sio odd kubwa

Kwani we mgeni hapa jukwaani au?

Neno bomu hutumka kama mkeka ambao possibility yake kuwin ni ndogo

Dk ya 20 unazuia magoli game 3 sio bomu hilo?

Huo ni msemo tu mkuu usikutishe
Nimekuelewa sana mzee wala sijawahi komaza ubongo kwenye huu upatu
 
Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit😀😀😀😀😀😀😀😀
Huu sio uthibitisho kaka hii ni editing nyingine
Ukiangalia tu hiyo screen shot utaona ina mbonyeo fulani haiko square
Pili huo muda wa utoaji hela nao ni kosa la kiufundi

Post mikeka kabla acha longo longo kaka
 
Back
Top Bottom