Disc Joker
Member
- Jun 21, 2019
- 41
- 59
[emoji110]Huu mjadala ufungwe basi
Adui yetu yupo anatucheka tu tunavyolumbana
[emoji110]Huu mjadala ufungwe basi
Adui yetu yupo anatucheka tu tunavyolumbana
Bet won
Jamaa Kashakuonyesha! Nikwambie Kitu Bro! Acha Wivu Wa Kike Unapomsema Mtu Mikeka Yake Fake 100% Una Maana Ni TapeliiUnazijua odd 100+? Au unazionaga tu
Unaamini kabisa mtu anaweza kutengeneza odd 100+ na akastake 20k?
Msifanye mchezo tukaoneka kama watoto humu hiyo mikeka ni fake asilimia mia
Siku mtakapo kua kiakili na kukomaa katika bet ndio mtajua ukweli na uongo wa haya mambo
Sio kosa lenu mkikua mtaacha
Sasa Ukiuleta Sasa Hivi Utaitwa Tapeli.Nimemtandika odds 30 muda huu ila nimeumia sana kutoleta mkeka jukwaani ili wana wapige supu,tatizo kistake nilichokiweka hadi aibu
Huu Ni Mfano Mzuri Kabisa:Huu mkeka umetiki tatizo ni stake iliyowekwa sasaView attachment 1247475
Angalau wewe umejitahidi kuedit
Wengi humu wamezoea odds 2 mzee, mtu ukipiga odds nyingi unaonekana hujui/scammer, na hii makitu haina cha ukongwe maana naskia kuna wakongwe sijui wamekimbia wapi? kikubwa tusivunjane moyo ni kuambiana tu ukweli lengo letu ni moja na ikimpendeza mtu ni vyema akatuwekea kabla ili kama kupata tupate sote au kukosa tukose sote...Sasa Ukiuleta Sasa Hivi Utaitwa Tapeli.
Binadamu Wivu Tuliumbwa Nao
Hili Ndio Lilikuwa Lengo LakoJukwaa hili kipindi hicho bana kulikua na manguli haswa, ni mwendo wa kupeana ma possible kulingana na ujuzi wa kila mmoja
Lakini tangia utoto wa kuanza kupost won badala ya possible ulipoanza na vichwa vyote vikakaa pembeni
Hongera kwa Void, Mayu Basiasi stevemollel nabaadhi angalau ukija kuchungulia humu unakuta wapost tips na ukikomaa nazo hukosi angalau
Tuliobaki kazi ni kupost won tu
Tubadilike muhindi atatubabua sana kwa mwendo huu
Kaonyesha nini? Unajua maana ya edit? Watu wana edit hadi barua za ikulu kakaJamaa Kashakuonyesha! Nikwambie Kitu Bro! Acha Wivu Wa Kike Unapomsema Mtu Mikeka Yake Fake 100% Una Maana Ni Tapelii
Sio Vizuri Wanaume Hatupo Hivyo, Ukiona Mshikaji Katoboa Jifunze Kupitia Kwake Sio Kumnanga Kiasi Hiki.
Tusipoangalia Tutawakosa Watu Wengi Kwenye Huu Uzi, Kisa
Wakipost Walivyokula Ni Matapeli.
Wakipost Kabla Ya Kula Mkiliwa Au Mkeka Ukichanika Mnasema Ni Agent Wa Bookmakers.
Huu Ujinga Lazima Tuukatae, Tuwe Wawazi Na Tuache Wivu Wa Kike
Kwenye Ndio Tuseme NDIO, Kwenye Sio Tuseme HAPANA.
Ok Your Are Right.Kaonyesha nini? Unajua maana ya edit? Watu wana edit hadi barua za ikulu kaka
Ushahidi pekee ni kupost mikeka kabla vinginevyo hiyo mieka yake baada ya won inakusaidia nini wewe, si bora tips za basiasi mara mia badala ya hizo
Hakuna mtu anamuonea wivu mtu hapa, wangeonewa wivu akina mangi na baresa sio kamari akila akiliwa inanihusu nini
Lengo la jukwaa ilikua kupeana possible na sio kupost won
Eti motivation[emoji28][emoji28]
Kama Hata Taarifa Huna Kuwa Idiot Alipost Mkeka HapaWa 80+ Odds Na Ukakwama Mechi Moja Ya Ice Hockey Basi Wewe Si Wa Kubishana Na Mimi,Kaonyesha nini? Unajua maana ya edit? Watu wana edit hadi barua za ikulu kaka
Ushahidi pekee ni kupost mikeka kabla vinginevyo hiyo mieka yake baada ya won inakusaidia nini wewe, si bora tips za basiasi mara mia badala ya hizo
Hakuna mtu anamuonea wivu mtu hapa, wangeonewa wivu akina mangi na baresa sio kamari akila akiliwa inanihusu nini
Lengo la jukwaa ilikua kupeana possible na sio kupost won
Eti motivation[emoji28][emoji28]
Mfano Mwingine Huu 2000+ ODDSAnabahati sana ilikuwa 2m na ushee timu 1 tu imezingua odds sio tatizo umeona mlima wa odds na ilikuwa inatak kutema mda mwingin bahat na ukituliz akiliView attachment 1247514View attachment 1247516View attachment 1247517
Tena Huyu Muhuni Kacheza BTTS Tu Games Zote Moja IkagomaAnabahati sana ilikuwa 2m na ushee timu 1 tu imezingua odds sio tatizo umeona mlima wa odds na ilikuwa inatak kutema mda mwingin bahat na ukituliz akiliView attachment 1247514View attachment 1247516View attachment 1247517
Unajua watu tuache unafiki wa kijinga!Jukwaa hili kipindi hicho bana kulikua na manguli haswa, ni mwendo wa kupeana ma possible kulingana na ujuzi wa kila mmoja
Lakini tangia utoto wa kuanza kupost won badala ya possible ulipoanza na vichwa vyote vikakaa pembeni
Hongera kwa Void, Mayu Basiasi stevemollel nabaadhi angalau ukija kuchungulia humu unakuta wapost tips na ukikomaa nazo hukosi angalau
Tuliobaki kazi ni kupost won tu
Tubadilike muhindi atatubabua sana kwa mwendo huu
Eti Kadiri NinavyokuaOdd kubwa hakuna ambaye hajawahi kushinda
Odd mlima ni kama zari zinashinda kwa nadra sana na sio mara 10 kwasiku unashinda odd 180, 160, 120 nk
Hakuna uchawi lakini sio kwa ushindi aliopost idiot au mayu
Kadiri unavyokua utayajua haya siku moja
Kuna mtu kawahi kupost kabla odd 200+ game zote akaweka 2+ na akatusuaTena Huyu Muhuni Kacheza BTTS Tu Games Zote Moja Ikagoma
Jaman Watu Wana Nyota Zao
Mim Kila Siku Naliwa Hata Nikiweka Odds 1.5
Lakini Najifunza Kupitia Wanaokula
Ipo Siku Nitamywa Hata 1M