Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 668
- 1,510
Hiii Hiii HiiiiHahaha imebidi nicheke maana nilikua sijaingia humu tangu ahsubui unadhan huwa nakula tyu hata mim kuna mda natandikwa
Watu Wanaona Kama Una Edit Kisa Wao Wanapata Elfu 10 Wewe Unapig M 7
Kila Mtu Na Nyota Yake, Mimi Mwez Mzima Huu Nimegongwa Kama Laki 2 Hivi, Sijakata Tamaa Na Nikiona Raia Anabonya Mamilion Kama Wewe Nakuwa Motivated Na Najifunza.
Sometym Huwa Nafurahi Tu Mhindi Kuliwa Japo Sili Mimi So Mkuu Usiache.
Na Siku Ukipata Muda Na R9ho Yako Ikikubali Tupe Hata 100+ Tatu.
Tutakushukuru Sana